Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
HahahhahaSiku nyingi sasa ni kaka paroko
HahahhahaSiku nyingi sasa ni kaka paroko
Jambazi gani Huyo wa arusha ?niliisoma watu walichangia kwa yule jambazi wa arusha lkn hawajafungua uzi wake
Poa mkuu tuombe uzimaPoa, nasubiri kwa hamu
We ulijua tunazungumzia nini shuniekumbe mlikua mnamzungumzia mdudu
Tunaongelea ufugaji wa fetlineMnaongelea ufugaji wa nini? Majoka ya Bitoz au wanyama gani?
Kama mchezaji wa hii mechi itabidi tumtafutie kile Miranda cha chumaAlikuwa ni mchezaji![]()
![]()
Mletaji atakuwa amesahau kama ameahidi watu tuna subiriHiyo Je wajua imeota mbawa?
hahaha atakua wa kichina shemelaLee wa Kichina![]()
![]()
![]()
![]()
You tooSigning out .....bye.....goodnight guys
sikumbuki jina lakeJambazi gani Huyo wa arusha ?
Asante shemelahahahha hongera zako shemela
Sante shem nikitulia nitasoma
ItakuwaNaona anataka niwe mndali jambazi
sijajua mm naskia mambo ya mifugo nilikutia kati naskia wana hela sana hao viumbeWe ulijua tunazungumzia nini shunie
Au kwetu ilejeNa hiyo ofisi lazima iandikwe mndali ndanyelakakomu
Nyagei yupona hamu ya kukesha leo