Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Poa usijali nitaitafuta ila ya jombi nyagei kaleta linksikumbuki jina lake
Poa usijali nitaitafuta ila ya jombi nyagei kaleta linksikumbuki jina lake
Sawa mkuu tunazungumzia mdudu ila napenda kumwita fetlinesijajua mm naskia mambo ya mifugo nilikutia kati naskia wana hela sana hao viumbe
ahhhaha nyagei ndio popoNyagei yupo
hahhahah chair fireNi chair fire
Asante mkuu nitaangalia niandike lipi kati ya hayo mawiliAu kwetu ileje
Nyimbo si binamu obeAnataka nyimbo au matokeo?
jaman si story tu bas acha nilaleUnataka ukeshe na nini?
Mkuu ndo awe na kumbu kumbu kuwa ametupa ahadi hewa anadaiwaItakuwa alibanwa na Valentina
Najua kukusalimia haikatazwi. Hujambo bibie!?jaman si story tu bas acha nilale
halaf nakumbuka nilishaisomaPoa usijali nitaitafuta ila ya jombi nyagei kaleta link
sijambo shikamooNajua kukusalimia haikatazwi. Hujambo bibie!?
Kijana naona unataka urudishe kibarua cha mtu maana kafukuzwa atakapo peleka maelezo ya kuhusu wewe kutongoza ubavu wake kibarua kitarudi mahali pakeKuteta sio kuzuri..
Marhaba! Hapo kwenye kiti hubanduki, unapika saa ngapi wewe!!sijambo shikamoo
Swali zuriUnataka ukeshe na nini?
Sio anakula muwaSasa kuna kipindi natoka Songea mida ya asubuhi kama saa mbili hivi tupo kwenye basi kipima joto kinaonesha ni nyuzi joto 5 ghafla nikamuona mtoto age ya 3-5 yuko kifua wazi anacheza nilishangazwa sana
Alikuwa hajuiSawa mkuu tunazungumzia mdudu ila napenda kumwita fetline
Pamoja sanaAsante mkuu nitaangalia niandike lipi kati ya hayo mawili
Weekend hii hajaonekana kabisaNyimbo si binamu obe