shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ndio haosijajua mm naskia mambo ya mifugo nilikutia kati naskia wana hela sana hao viumbe
Ndio haosijajua mm naskia mambo ya mifugo nilikutia kati naskia wana hela sana hao viumbe
Kama mchezaji wa hii mechi itabidi tumtafutie kile Miranda cha chuma

Itakuwa alibanwa na ValentinaMletaji atakuwa amesahau kama ameahidi watu tuna subiri
Tuko pamoja shemSante shem nikitulia nitasoma
Kibarua kinaweza kurudi we kusanya ushahidikwa haya nayoyaona mbele yangu kuna haja dr.lee apate mlinzi madhubuti kabisa tena na mtutu mkubwa tu...![]()
Nimekutana na nyuzi kibao za KambonaItakuwa
Ni chair firesijajua mm naskia mambo ya mifugo nilikutia kati naskia wana hela sana hao viumbe
Anataka nyimbo au matokeo?Nyagei yupo
Nawe pia mkuuMuwe na usiku mwema hakika leo nime-enjoy
Muulize, yeye anataka kukeshaAnataka nyimbo au matokeo?
Njombe ina baridi mpaka huwa sipendi kurudi kutembeleaEti huko China nako baridi lipo kama la Njombe?
Unataka ukeshe na nini?na hamu ya kukesha leo
Asante mkuu mungu akulindeSigning out .....bye.....goodnight guys
Kuteta sio kuzuri..Kibarua kinaweza kurudi we kusanya ushahidi
Mkuu kuna watu wana vipaji vya kuiba mpaka unaweza kushangaa ila ndo ukweliAisee
Sasa kuna kipindi natoka Songea mida ya asubuhi kama saa mbili hivi tupo kwenye basi kipima joto kinaonesha ni nyuzi joto 5 ghafla nikamuona mtoto age ya 3-5 yuko kifua wazi anacheza nilishangazwa sanaNjombe ina baridi mpaka huwa sipendi kurudi kutembelea
Asante kwa maombi mkuuNo sio kuwa jambazi bali kuwa unajulikana sana
Hatari sana hao watuMkuu kuna watu wana vipaji vya kuiba mpaka unaweza kushangaa ila ndo ukweli
Asante mkuu nadhani shunie atapata kusoma story yake
UbarikiweAsante kwa maombi mkuu