Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,930
WatanoMama mchungaji una wajukuu wangapi
Mnaongelea ufugaji wa nini? Majoka ya Bitoz au wanyama gani?Mkuu huwa mi bado sijaanza ila nimetembelea wafugaji na kujua baadhi ya vitu nikimaliza kufuatilia vyote nitaleta somo lililo kamilika
Kanitania Werason nishangaa jokaahhaahhah ujue nilijua alikua ananiita
Bandani..........Sorry yupo Arusha
Kweli bandani Unamkana eeeh!? Kisa tu arudishwe kwenye ulinzi? Haya. Yetu macho!shedede hajawahi nitongoza mm
Pole sanaWakati ule kijijini Kolomije ukiumwa na nge walikuwa wanaweka maji ya moto wanakukanda nayo halafu wanaweka tumbaku iliyosagwa (ugoro) mahali ulipoumwa. Sijui kama hii ilikuwa inasaidia cho chote kwa sababu maumivu ndiyo yalikuwa kama yanazidi. Maji ya moto nadhani ndiyo unapanua mishipa ya damu ili sumu isafiri kwa urahisi zaidi lakini ndiyo tiba za jadi hizo. Solace yangu ilikuwa ni katika ufahamu kwamba siwezi kufa kwa kuumwa na nge japo kuna jamii moja ya nge huko Atacama desert ikikutandika unaweza ku-RIP. Maumivu ni makali sana na utake usitake machozi yatakutoka tu hasa ukitandikwa na nge jike aisee ni shida. Na kesho yake ukikosea ukagusa maji ya baridi ngoma inaanza upya...
Nimewahi sikiaNdiye, they call them Koboko
Acha kabisa hauna mfanomama mchuchu huu uji nakumbuka mama angu alikua anatuadithia wanasema ulikua mtamu sana mm ata siujui bulger
Mnaongelea ufugaji wa nini? Majoka ya Bitoz au wanyama gani?

Tuliokula bulger hakika tuna wajukuuhahaha shemela ww sbbu ya Bulger unamuuliza hilo swali mama mchuchu
Jesus!!2/The Green Anaconda
Huyu kila mtu anamjua....Muvi ya Anaconda aliyoicheza Jeniffer Lopez inafahamika![]()
Wanapatikana huko kwenye misitu ya Amazon Brazil
Wastani wa urefu wao ni futi 15 hadi 18
Aliyeweka rekodi alikuwa na futi 29 ila inasemekana waneshawahi kuwepo wakubwa zaidi ya huyo ila ushahidi bado hauhaonekana
......
Watu wa mbeya wataanzishaniliona lkn watu walikua wanaingizia tu kwenye uzi usiomuhusu
Hapo patamuWeka picha![]()
![]()
![]()
![]()
Juzi kuna kijan wa miaka 25 sikumbuki nchi gani alikwenda kuvuna mawese akapotea walimtafuta sana sana baadae wakamkuta huyu jamaa tumbo lina alama ya kiatu wakampasua ,so,sad alikua kammeza kijana RIP kijanaUkikutana naye porini hakuna haja ya kumkimbia, unapambana naye tu

Kumbe kiti moto. Kuna magroup WhatsApp kwa wafugaji wa karibu kila aina ya wanyama na huko wanaalikana mpaka kutembeleana na kupeana ujuzi laivu.
Acha tu shemela uku na ndizi za kuchoma na kabeer pembeniHuko ni balaa, huwezi choka kula nyama
mm mweusi msukumaHapo ni kweli aisee. Kwani Shunie ni mweupe?
Oooh nitaenda kuitafutaKuna ya Jombi
hamna bana shemela mm cheusi fiiiii muulize leeAvatar yako labda ina sadifu