BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
I see hatariWaliwaleta kule Florida eti wawasaidie kutatua tatizo la panya wakazaliana haraka haraka panya walipoisha wakaanza kula nyoka wenyeji, ndege, samaki, sungura, squirrel na kila aina ya viumbe wenyewe hawachagui. Sasa wamegeuka na kusababisha environmental crisis ya hali ya juu. Leo hii ukikamata mmoja unalipwa mpaka dola 100 kulingana na ukubwa wake. Kwa wenye utaalamu wa kukamata nyoka waende huko wakapige mzigo...

