Makapuku Forum

1/The Titanoboa Snake Inakadiriwa alitoweka duniani takribani miaka Milioni 50 iliyopita
Alikuwepo huko Colombia ndo kuna makumbusho ya mabaki yake
Alikuwa na urefu wa futi 42 na uzito karibia tani 1
Upana wake ni sawa na hips za mwanamke?

Ahsanteni kwa kuwa nami
Mwisho
.......
 
Aiseee
 
Nge jike harafu sasa liwe na mimba, maumivu yake si mchezo
 
[emoji120] [emoji109] [emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…