Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,932
Apanamimi apakwani mushenga we handsome kama lee wangu
.....nina sura ya kiumeApanamimi apakwani mushenga we handsome kama lee wangu
.....nina sura ya kiumeSihonji-Sionji![]()

Nakula ila simalizi 2kg!!!Dah unakosa mema ya kolomije
Randy Orton anajiita Viper8/The Bushmaster Viper![]()
Wanapatikana huko kwenye kingo za mito Milima ya Amazon hadi Costa Rica
Huwa na urefu hadi kufikia futti 13
Huwa na rangi ya waridi na hata damu ya mzee
.....
Mi niko poa dadangu ulikuwa umeadimika kidogomiss u too kaka akee unaendeleaje
Sana tu mkuu, nilianza kula nikiwa MbeyaHiyo unatumia mkuu
Miss you shemAiseee
teh teh unalinda abiria chunga mzigo wako
Tunashukuru sana

Bora umwambie weweacha uoga
hahhhaApana.....nina sura ya kiume
Anatisha6/The Scrub Python
Hawa ni jamii ya chatu wansopatikana Australia pekee![]()
Urefu wao huweza kufika hadi futi 28
.......
Ndiyo hivyo
Hatari sana7/The King Cobra![]()
Huwa na urefu wa futi 15.6 hadi 18.8
Wanapatikana kwa wingi India na Indonesia
Mkubwa zaidi kuwahi kurekodiwa amehifadhiwa huko London kwenye Zoo akiwa na urefu wa futi 18.8
..
....
nimeadimika kidogo kaka angu lkn tupo pamojaMi niko poa dadangu ulikuwa umeadimika kidogo
Pole na mihangaiko ya maisha
miss u moree shem wange u gudMiss you shem