BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Sanaaaa,ulijuaje,wakati huo BULGERUtakuwa ulikuwa unapenda sana uji weye![]()
![]()
![]()
![]()
Sanaaaa,ulijuaje,wakati huo BULGERUtakuwa ulikuwa unapenda sana uji weye![]()
![]()
![]()
![]()
mtto wa kiume anakuaje muoga hivyo anajaribu jaribu tu si aache kama haweziBora umwambie wewe
Salaleee6/The Scrub Python
Hawa ni jamii ya chatu wansopatikana Australia pekee![]()
Urefu wao huweza kufika hadi futi 28
.......
Unaweza muokota aisee9/The Colombian Red Tail BoaWanapatikana huko Colombia![]()
Majike huwa na urefu wa Futi 7 hadi 10 wakati madume huwa na urefu wa futi 6 hadi 8
Wana rangi ya kuvutia mkiani inayoendana mazingira ya misitu waliyopo
.......
Unamaliza robo tu?Nakula ila simalizi 2kg!!!
VizuriLeo je wajua itakuwepo
Anajifananisha na huyo ngokaRandy Orton anajiita Viper
Nahisi kuna kitu ndani yake
Hizi ngozi zao hutumika kutengeneza vitu vizuri10/The Carpet PythonHawa ni chatu jamii ya Morella![]()
Wastani wa urefu wao ni Mita 2(6.6ft)...kwa kawaida madume huwa ni madogo kuliko majike
Baadhi ya sehemu majike yana uzito mkubwa mara 4 ya madume
........
Yes niko vereee shemmiss u moree shem wange u gud
Atazimia kabisamtto wa kiume anakuaje muoga hivyo anajaribu jaribu tu si aache kama hawezi
hivi ukimpa captain morgan ata kuonja ataweza kweli
Kwanini ni ngumu kuwakamata?5/The African Rock Python
Jamii hii ya chatu linapatikana barani Afrika![]()
Huwa na urefu wa futi18 hadi 26
Rekodi zinaonesha wapo waliofika futi 28
Hawa chatu ni ngumu kuwakamata
.....
Aiseee5/The African Rock Python
Jamii hii ya chatu linapatikana barani Afrika![]()
Huwa na urefu wa futi18 hadi 26
Rekodi zinaonesha wapo waliofika futi 28
Hawa chatu ni ngumu kuwakamata
.....
Kweli,kuna jamii wanawatumia kama mizimu yao hata wakiawaona hawauawi5/The African Rock Python
Jamii hii ya chatu linapatikana barani Afrika![]()
Huwa na urefu wa futi18 hadi 26
Rekodi zinaonesha wapo waliofika futi 28
Hawa chatu ni ngumu kuwakamata
.....
hahahahhahaAtazimia kabisa
Baadae tupatie sifa zake tafadhaliAnajifananisha na huyo ngoka
........
Plan D hiyoSawa mkuu
Kufuga je ?
TunakushukuruLeo je wajua itakuwepo