Makapuku Forum

Kemea utaisha,kuna wakati nulijua naogipa sana nyoka kila nikiingia ndani nawaza nyoka huwezi amini siku moja alfajiri nilijikuta nimebeba nyoka mgongoni
nakung'uta akaanguka haa nikaitaa jina la Yesu nilipambana hadi kumuua,na nikaanza rasmi kukemea mfululizo limeisha hili jambo namshukuru Mungu
 
Ndugu yangu mmoja yeye alijionggeza, alianza kufanya biashara zake huku anaffanya kazi lakini akijua kuwa hana chake tena kazini, alijitengenezea mazingira ya kutokuwa na pressure baada ya kutumbuliwa
 
Ila mess kashindwa kuibeba Argentina

Kuna baadhi ya raia wa Argentina wanaamini mess ni mkatarunya na si muargentina
 
Amen mama mtumishi
 
Aisee, hakukuuma?
 
Mkuu mm naogopa kupanda gari na hua natapika sana..
Naweza tibu hili tatizo ki vipi
 
Mm kidogo ninshike kwenye kitasa asubuhi alikua kajivingirisha
 
Thanks T. wa Sakayo

eti Brazil wanakula mpira.....wanakunywa mpira.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…