Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Nisikudanganye Mtumishi. Mimi siyo mwanasheria na kusema kweli mbali na kujua haki zangu za msingi kama raia wa Jamhuri ya Tanzania sijui cho chote kuhusu sheria.Za asubuhi mkuu umeamkaje?vipi hali yako?pole Mungu aendelee kukuimarisha.
Nimesoma ujumbe wako natamani kuelewa zaidi,unisaidie kufafanua hapo,khs kesi kufanana na Bashite,napenda kujifunza ili pia nipate maneno ya kuwaeleza wanielewe na wachukukuliw hili suala kwa kulielewa,hivi wapo njiani wanakuja,nadhani usiku nitakuwa nao hapa
Aisee kuna vitu havitokei kwa bahati mbaya.Ndo babu yake Kim
Alikuwa katili ...sasa ili kumuiga kaanza kwanza kunyoa panki
Yaani mjukuu anamuiga babu na kufuara nyayo zake
......
Indi mkafu utwa pakajaUlimukafu sebho!
1981 - Alexander Hleb anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Arsenal, Barca na timu ya taifa ya Belarus.
We upo Mr mondrayHabarini wakuu mko fresh...
Naunga mkono hoja yako.Pele hakuwa na kipaji chochote labda kupiga danadana tu
Hata wakati Brazil inachukua makombe mchano wa Pele haukuwepo kivile
Maradona Ndo fundi
Pia enzi hizo kipa akirudishiwa mpira anataka
.....
Ndio wakaenda kumzika.Wakauchukua?
Maana maiti kibao zimeganda kutokana na barafu halafu zimeachwa tu
....
1987 - Leornado Bonucci anazaliwa.
Beki kisiki wa Juventus na timu ya taifa ya Italy.
Mkuu SHIMBANisikudanganye Mtumishi. Mimi siyo mwanasheria na kusema kweli mbali na kujua haki zangu za msingi kama raia wa Jamhuri ya Tanzania sijui cho chote kuhusu sheria.
Umesema kuwa walifeli kidato cha nne wakafanya mbinu wakabadili matokeo yao kinyemela (wakagushi vyeti) na matokeo hayo feki ndiyo yakawafanya wapate nafasi ya kuendelea na masomo yao mpaka wakapata ajira; na leo kosa lao walilofanya zamani ndiyo limesababisha watumbuliwe. Sijui tafsiri ya kisheria lakini nadhani kubadili matokeo kinyemela ni kosa. Kama kuna kapuku mwanasheria anaweza kutufafanulia zaidi.
Nimesikia TLS chini ya Tundu Lissu imewashauri wafanyakazi wote wanaoamini kuwa wametumbuliwa kimakosa waungane wafungue class action suit dhidi ya serikali na TLS itawapa msaada wa kisheria bure. Wanaweza kupata ufafanuzi wa kosa lao kisheria (kama wametenda kosa) na watajua cha kufanya baada ya hapo. Washauri wawasiliane na TLS au mwanasheria ye yote angalau wajue kosa lao limekaaje kisheria...and then they can go from there.
Bashite yeye alipiga ziro form 4 akanunua cheti cha mtu mwingine. Hawa matokeo hayakutosha wakajazia jazia kinyemela kwa majina yao yale yale. Sijui yupi ana kosa kubwa zaidi ya mwingine. Uwe na amani mtumishi na wape pole sana. Waambie wasikate tamaa. Maisha ni lazima yaendelee ati! Mungu Atawafungulia milango mingine!
Come on Mukongoman! Una batophobia? Ndege huwa unapanda na huogopi? Ulianza anzaje kuogopa haya majengo marefu?Me ni mwoga kwenye majengo marefu.....yaani naweza ota hata kwa miaka 5!!!
Hapo sasa. Basi tusiwalalamikie wazungu kwa kupotosha historia yetu wakati sisi wenyewe wala hatujui tuanzie wapi.Mkuu SHIMBA
Kuhusu lile suala la kuleta historia za nyumbani limeshindikana maana Waafrika hatuna kawaida ya kutunza kumbukumbu...tunazitafuta hazionekani
Labda mtu aanzishe segment awe anaelezea historia za mashujaa wetu km Chifu Mkwawa na n.k
Kuhusu suala la hao mabashite wana kosa la jinai wanatumia vyeti visivyo vyao na wengine wamechakachua matokeo pia wapo waliotengeneza tu vyeti
..........
Sisi shule zetu hazifundishi mambo ya utafiti, kwanza taasisi ya utafiti Tanzania inatengewa 1% ya pesa ya bajeti kwa mwakaNemda kawasaidie
Nasikia na ww mwanasayansi
....
Naunga mkono hoja yako.
Pele amechukua World Cup mara 3 lakini hakuwahi kuwa mfungaji bora au hata mchezaji bora.
Mwaka 1958 wanachukua kombe la Dunia Pele alikuwa ndio chipukizi.
Mwaka 1962 wanachukua Kombe la Dunia staa wa michuano alikuwa Mane Garrincha. Pele alicheza mechi mbili tu.
Mwaka 1970 wanachukua tena Kombe la Dunia pale Mexico. Staa wa michuano alikuwa Jaizinho ambaye alifunga goli kila mechi.
Lakini Maradona alikuwa ndio staa wa michuano pale alipoibeba Argentina mwaka 1986 na kutwaa Kombe la Dunia.
Pele alibebwa na mastaa wengine. Wakati Maradona ilibidi aibebe timu kwenye mgongo wake.
1% [emoji15] [emoji15] [emoji15]Sisi shule zetu hazifundishi mambo ya utafiti, kwanza taasisi ya utafiti Tanzania inatengewa 1% ya pesa ya bajeti kwa mwaka
Oliver alikuwa jembe1968 - Oliver Bierhoff anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Ujerumani.
Ndio mchezaji wa kwanza kufunga goli la dhahabu toka lilipoanzishwa. Alifanya hivyo katika michuano ya Euro mwaka 1996 pale England ambapo Ujerumani ilitwaa ubingwa huo.
Mmoja kati ya wanasoka wa Kijerumani ambao hawajawahi kuchezea Bayern Munich.
Kwasasa ni meneja wa timu ya taifa ya Ujerumani.
AmenKUMTEGEMEA MUNGU KUNA FAIDA
[emoji524] ISAYA 40
29 Huwapa nguvu wazimiao ,humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo
[emoji523] Pale unapochoka fikra unapowaza sana unapokata tamaa ndipo Mungu anapokupa nguvu na kinga za kila shambulizi pia kukuvusha juu ya hali uliyo nayo ,hivyo pambana na hali hiyo kwani Bwana anatamalaki na kukupa utulivu na ushindi ili kumshinda adui anapotaka kukudhuru
Tumuombe Mungu atusaidie tumkabidhi Mungu njia zetu zote naye hatatuacha[emoji120]
TUOMBE
MUNGU BABA MWENYEZI tunakushukuru sana kwa ulinzi wako na yote unayotutendea,Mungu,umetutoa mbali tunakushukuru sana.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa,fariji wajane na yatima,tembea nasi Baba nyoosha mapito yetu,peke yetu hatuwezi
Tunajikabidhi miili na roho zetu tukinge na hatari zote za mwili na roho.
Roho Mtakatifu Mfariji wetu tufundishe ,tuongoze,tuonyeshe njia sahihi ya kuishi maisha ya kumpendeza Mungu
Asante kwa kila linakotokea maishani mwetu
Tunaomba yote kwa jina la Yesu mpatanishi na mwokozi wetu .
Amen
Muwe na siku njema,wiki njema,mwezi mwema.....MBARIKIWE[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Duuh eti kama goli kama za hamisi tabweJaizinho Garrincha Naradona na Shilton
Pia Pele nasikia hajawai kucheza Ulaya hivyo goli zake ni km za Amissi Tambwe wa VPL
......
Ni Kati ya wachezeshaji bora kabisa uwanjani na pia allijuta sana kuhama arsenal baada ya kukosa no Barcelona1981 - Alexander Hleb anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Arsenal, Barca na timu ya taifa ya Belarus.
Shida kwelikweliHapo sasa. Basi tusiwalalamikie wazungu kwa kupotosha historia yetu wakati sisi wenyewe wala hatujui tuanzie wapi.
Hapa maktabani kwangu nina vitabu vya Mashujaa wa Tanzania, Historia ya Wasukuma na Mila na Desturi za Wachaga lakini vyote vimeandikwa na wazungu kabla ya uhuru. Naweza kuwa na-scan na kuviweka pole pole kufuatia topic. Havina copyrights.