Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Nilidhani ni huku tuYa kutosha aise
Nilidhani ni huku tuYa kutosha aise
Tumefaudu nasieNilidhani ni huku tu

Sio mbaya nikikusaidia leo...![]()
![]()
Nawe ni mlinzi mwenzangu
Usipende kulala sana mchanaSio mbaya nikikusaidia leo...
Nililala mapema now usingizi umekata
Hata sio mchana nililala satatu kasoroUsipende kulala sana mchana
Case yao ni sawa na ya Bashite. Kama Bashite ana makosa, na wao wana makosa japo inauma kuona kuwa mwenzao Bashite hajaguswa.Hawakufanya vizuri kidato cha nne ,marks zao zikawa haziruhusu kuendelea,wakapata watu kwa wakati tofauti wakabadili passmarks za masomo,wakaenda vyuo,na wakaemdelea kusoma na kujiendeleza na vyuoni walifaulu na wakapata ajira kwa majina yao .sasa hapo inamaana waligushibvile vyeti vya mwanzo
Najua bado umelalaHata sio mchana nililala satatu kasoro
Morning mkuuCase yao ni sawa na ya Bashite. Kama Bashite ana makosa, na wao wana makosa japo inauma kuona kuwa mwenzao Bashite hajaguswa.
Za asubuhi mkuu umeamkaje?vipi hali yako?pole Mungu aendelee kukuimarisha.Case yao ni sawa na ya Bashite. Kama Bashite ana makosa, na wao wana makosa japo inauma kuona kuwa mwenzao Bashite hajaguswa.
mama mchungajiZa asubuhi mkuu umeamkaje?vipi hali yako?pole Mungu aendelee kukuimarisha.
Nimesoma ujumbe wako natamani kuelewa zaidi,unisaidie kufafanua hapo,khs kesi kufanana na Bashite,napenda kujifunza ili pia nipate maneno ya kuwaeleza wanielewe na wachukukuliw hili suala kwa kulielewa,hivi wapo njiani wanakuja,nadhani usiku nitakuwa nao hapa
charlieMorning mkuu
shimba Ya buyenseCase yao ni sawa na ya Bashite. Kama Bashite ana makosa, na wao wana makosa japo inauma kuona kuwa mwenzao Bashite hajaguswa.
Morning nyageiMorning mkuu