Makapuku Forum

1968 - Oliver Bierhoff anazaliwa.

Mshambuliaji wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Ujerumani.

Ndio mchezaji wa kwanza kufunga goli la dhahabu toka lilipoanzishwa. Alifanya hivyo katika michuano ya Euro mwaka 1996 pale England ambapo Ujerumani ilitwaa ubingwa huo.

Mmoja kati ya wanasoka wa Kijerumani ambao hawajawahi kuchezea Bayern Munich.

Kwasasa ni meneja wa timu ya taifa ya Ujerumani.
 

Bora limefutwa linaumiza sana
Nakumbuka David Trezeguet alivyowaua Wataliano Euro 2000
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…