Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
HBD John O'shea1981 - John O'shea anazaliwa.
Beki wa zamani wa Man Utd ambaye anacheza Sunderland kwa sasa iliyoshuka daraja jana.
Akiwa Man Utd alishinda mataji matano ya EPL na Klabu bingwa ulaya moja.
11
![]()
Ni baba anafurahia mtoto akichezea maji yanayotoka bombani
anamjojolea mtoto.....
11
![]()
Ni baba anafurahia mtoto akichezea maji yanayotoka bombani
anam.....
Sana aiseeInashangaza
Pole sana Lee utaishaMkuu namshukuru aliye juu ...uchovu wa porini tuu mkuu
Pole, ndio mpiraNi poa tu mkuu
Japo huko Ulaya sio kabisa
Mambo yako hayo
Mungu akubariki mkuu Shululu asante kwa magazeti kazi yako ni njema
Amen Nyagei UbarikiweJumapili njema Makapuku


AimenBWANA YESU APEWE SIFA
JIONI HII MUNGU ANASEMA NAWE/NAMI YAKUWA
USIOGOPE/NISIOGOPE
1.....maana nimekukomboa;nimekuita kwa jina lako,na wewe u wangu.
2 upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe;na katika moto,hautateketea;wala mwali wa moto hautakuunguza
3.maana mimi ni BWANA MUNGU WAKO,Mtakatifu wa Israel,MWOKOZI wako.....
ISAYA 43:1-3
HALELUIYA
Hakika hatupaswi kuogopa jambo lolote wala kitu chochote MAANA MUNGU YU PAMOJA NASI KUTULINDA
![]()
Jambo muhimu ni kumtii
Wakati mgumu,kukosa kazi,kuachwa,kudharauliwa,kukosa kuoa au kuolewa,kukosa watoto ,kuugua,mazingira magumu ,kuuguza isiwe sababu ya kuacha kumwabudu Mungu.
Mungu anatupenda na kamwe hatatuacha.TUSIOGOPE
TUOMBE
MTAKATIFU MTAKATIFU MTAKATIFU BWANA MUNGU WA MAJESHI ASANTE KWA YOTE UNAYOTUTENDEA TUNAKUSHUKURU KWA UPENDO NA WEMA WAKO KWETU,ASANTE KWA ULINZI WAKO NA AHADI ZAKO ZA MILELE TUNAOMBA UTUIMARISHE KIROHO HATA TUNAPOPITIA CHANGAMOTO YOYOTE TUKUONE WEWE,ASANTE BABA KWAKUA UMETUAHIDI ULINZI DAIMA
TUNAOMBA NA KUSHUKURU
AMEN
MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Mi ugenini huwa silali usingizi kabisa inanichukua muda sana kuzoea labda nikae zaidi ya week
I see,so sad halafu hakufa na mama akamezea,sijui maamuzi yalikuaje baada ya hapo poor woman,killer
Katakuwa kamguu ka mtoto
YES KULIA NA KUCHEKA YOTE YANAWEZA KUASHIRIA FURAHA INATEGEMEA UNAFURAHIA NINI
Uzembe kivipi?Huu uzembe