Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nasubiriaaa ripoti yake


Namshukuru Mungu ....ila bora ka nchi ketu kaendelee kuwa na vurugu tu insta ...kuna nchi watu wanatesekaa mkuu
Hapo umenena. Watu wanajipiga vifua na kujiapiza mbele ya keyboard tu lakini ukiona hali halisi ya watu waliokumbwa na machafuko ya wao kwa wao ni hatari mno. Mbaya zaidi hata hakuna anayefaidika mbali na hao ma war lords na wakubwa wao wa nje. Watoto na wanawake hasa ndiyo huteseka sana. No matter what huwa naomba sana kikombe hicho kiipite Tanzania yetu tuipendayo. Asante kwa angalizo makini mkuu.
 
Shedede nilimkurupua jana nikamshauri ahamie katika banda la mlinzi. Alikuwa amehamishia sime na rungu lake nyumba kubwa...

All in all karibu tena mkuu. I hope all is well huko ulikokuwa kwa sababu yaani watu wanakufa ile mbaya. Kila siku misiba kibao. Dunia hii hovyo kabisa!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
d11d5e407a6d83a35aed36c365b1c57a.jpg

Hawa mbumbumbu watakuwa hawajui muda
Wanatuchanganya
Labda SAA 2 ya Malkia hivyo kwetu SAA 5 au wanamaainisha SAA 8
Hata siwaelewi tangazo limeandikwa kwa maneno "SAA MBILI USIKU"

cc SHIMBA
........
Kashushu na masumbwi wapi na wapi
 
Back
Top Bottom