Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Duh!!! Janga lingine DunianiUraibu wa mtandao China na hasa South Korea ni janga la kitaifa kwa sasa. Wengine mpaka wanatelekeza familia na watoto wachanga wanakufa kwa sababu mama yuko kwenye super speed cafe anacheza game na wenzake katika mashindano. Tena ukimuona aliyekolea sawa mwenye uraibu wa ngada ana unafuu: hawali, hawafui, hawaogi mpaka wengine wanakufa kwa njaa kisa gemu limenoga. Kazi kweli kweli!

