Wakuu natanguliza salaam ....
Nimewamis mpaka bhasiii Ila sikuwa na jinsi at tyme inatupasa kulitumikia taifa kuliko linavotutumikia sisi ...nimewamis sanaaaaaaaaaaaaaaa
Nimeshindwa nianzie wapi ikabidi niskip all pages but hopefully wote mu' wazima
Kuanzia kwa shunie ....(special greatingz) ...to all kapuku wote
Mama mtumishiii ....nimekumis
Balozi Bitoz ....kinomanomaa
Mukongo....nothing to say
Mndali ....loooooh
Shululu...au ushakimbiaa
Mr &Mrs T....my God
Dikteta ...moment zako nikitoka asbh unatinga...
Mondray...na Ray..
Nyagei katibuuuuuuuu....
Baba paroko ...sijui nisemejeee
Valentinaa....nimekumisimoo
Bhinamuu obee ....na nyuziiiiiii
Mkuu tetra ...upooo
Snipes aka kidukuuu...
Na makapuku wote majina ni mengi na nawakumbuka na kuwapenda woteee...najua wageni wapo kibao ila wikend hii tunalamba sahani mojaaa....
Msamaha wenu ....nisamehe nilishindwa kutoa taarifa rasmi kuwa ntawamisisha segment ya mapema magazeti na uf...nisameheni Ila Mimi mzima
Shunie mama sara zako zinaniongozaaaaaaa
....
Shedeeeeedeeee naamini kazi umeifanya haswaaa...ntaomba ropotiiiii