Makapuku Forum

Beckham alifanya ujinga sana, ila amshukuru Ericsson kwa kumrudisha kwenye mstari
Aligeuka adui wa Waingereza zen yakaisha maana ni kipenzi chao
Sipati picha km angekuwa Rooney wangeweza hata kumu"Escobar"
Safari hii naona timu haichezi vizuri
Leicester tu kamsumbua
......
 
Skurani kiongozi
...
 
Dada zetu kwa nini mnafuga kucha ndefu mnatuumiza
Huu ni ugonjwa ni vericose vein zimevimba,huwapata sana wamama katika hatua z a ubebaji ujauzito zikizidi inabidi upasuliwe na wataalamu ni wachache mno wa kumanage tatizo hilo,sifahamu mwenye picha hii kama amepitia changamoto gani ya afya..
 
1988 - Juan Mata anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Valencia, Chelsea na Man Utd.

Pia huchezea timu ya taifa ya Hispania ambapo tayari ameshinda Kombe la Dunia na Kombe la mataifa ya Ulaya.

Msimu uliopita aliwapiga Liverpool pale Anfield goli la kiddo

Tukutane jioni kwenye kumi kubwa
Shukrani Mkuu
.....
 
Huu ni ugonjwa ni vericose vein zimevimba,huwapata sana wamama katika hatua z a ubebaji ujauzito zikizidi inabidi upasuliwe na wataalamu ni wachache mno wa kumanage tatizo hilo,sifahamu mwenye picha hii kama amepitia changamoto gani ya afya..
Ahsante kwa ufafanuzi

Umejibu ki tumishi na kisomi kama hujampokea Kristo fanya hima anakazi nawe

sizonjemadawa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…