Makapuku Forum

Happy birthday Matta
1981 - Jessica Alba anazaliwa.

Mwanamitindo wa Kimarekani.
Happy birthday
Jessica
1988 - Juan Mata anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Valencia, Chelsea na Man Utd.

Pia huchezea timu ya taifa ya Hispania ambapo tayari ameshinda Kombe la Dunia na Kombe la mataifa ya Ulaya.

1988 - Juan Mata anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Valencia, Chelsea na Man Utd.

Pia huchezea timu ya taifa ya Hispania ambapo tayari ameshinda Kombe la Dunia na Kombe la mataifa ya Ulaya.
 
hahaha bongo kusingetosha
 
Ndiye mwasisi wa suti za kaunda

Na kuna mtaa maarufu wa kaunda, upo osterbay
Ni suti ambazo hazivaliwi na tai mara nyingi hazina kola
Nyerere alizipenda sana
Pia uwanja wa Yanga pale Jangwani ni jina lake
Alikuwa mpenda michezo ndio maana kikosi cha Zambia kilichopata ajali mbaya ya ndege kilokuwa kikitwa KK Eleven
....
 
asante mama mchuchu kwa neno barikiwa sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…