Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU YA LEO


I just find myself happy with simple things. Appreciating the blessings God gave me
0199ee4ec27cc60e9a33caea721d111e.jpg

Huwa najikuta nina furaha kwa vitu kawaida tuu. Namshukuru Mungu kwa baraka alizonipa


Hayo maneno ya yaliwa kutamkwa na mwanamziki na mwigizaji wa kimarekani Earl Simmons kwa jina maarufu Dark in Max ( DMX) .
fa4bc221868b418cb55fe02330853f13.jpg
04d6e8792f135de692087b32cf064aba.jpg

DMX alizaliwa 18/12/1970 jijini New York, nchini marekani.

DMX amefanya kazi nyingi kama Rappa wa Hiphop , moja wapo ni Party Up in Here, God give me a sign.

Lakini pia amecheza movie kama Last Hour, Romeo must Die, Belly na Exit wounds .

Dmx ameandika Autobiography aliyoiita E.A.R.L lakini pia amefanya series ktk kipindi cha The realite Television.

DMX ni star mwenye criminal records kubwa sana. Zikiwamo za Robbery, child supports na drug abuse.

Dmx ana watoto 15 kwa sasa hivi.

Naamini kila binadamu anatamani kuwa na furaha, Furaha ni kitu cha kipekee ambacho kila mtu anahitaji..

Muwe na FURAHA siku zote wakuu.

Chini kuna Hot song yake..hapo


Dmx ana watto 15 aisee nilikua sijui
asante shemela kwa nukuu ubarikiwe
 
Mdau Nyagei kuna mengi kuhusu hii hoja na niseme tu, 'upekee' ndiyo unakosekana katika muziki wa sasa iwe ni muziki wa band, taarabu au kizazi kipya.

Hapa tunahitaji mjadala mpana, labda tutaweza fanya wakati mwingine.

Umewahi kujiuliza kwanini singeli ndo muziki unaovutia sana kwa sasa?
Kuhusu singeli ni kwa sababu ya ubunifu uliotumika kuutengeneza na kuutofautisha na aina nyingine ya kama ya kizazi kipya
 
1976 - Walter Pandiani anazaliwa.

Staa wa zamani wa Derpotivo la Coruna na timu ya taifa ya Uruguay.

Alitengeneza jina zaidi pale alpokuwa Derpotivo la Coruna almaarufu Super Depo, ambayo ilisheheni nyota kama Diego Tristan, Roy Makaay na wengineo ambapo moja ya mafanikio yao ni kumtoa Bingwa mtetezi Ac Milan katika Uefa mara baada ya mechi ya kwanza Depo kufungwa 4-1 ugenini kabla ya kuwafunga mabingwa hao 4-0 nyumbani.
2d4ea01bff5d103f165330df2aba9705.jpg
90bcb7c5030911f653dbfb437a549ff8.jpg
936bf149b0d31d956fcaad433c2ac550.jpg
Deportivo ya sasa imezidiwa hata na Kimondo Fc
Jana tu imepigwa 6 nyumbani na Madripd
.....
 
Tongotongo la Asubuhi
ef90cab9f0182347a19257f93e19cc35.jpg

Nepal ndo nchi pekee duniani benders isiyo na pembe NNE(mstatili)
Nepal inapatikana Kusini mwa Asia kati ya Tibet na China
Sasa sijui aliyebuni hiyo bendera alikuwa amevuta bangi gani hadi mupitisha mkasi na kuifanya iwe na umbo hilo
Asubuhi njema
..............
Alitaka kuwa wa kipekee
 
1976 - Walter Pandiani anazaliwa.

Staa wa zamani wa Derpotivo la Coruna na timu ya taifa ya Uruguay.

Alitengeneza jina zaidi pale alpokuwa Derpotivo la Coruna almaarufu Super Depo, ambayo ilisheheni nyota kama Diego Tristan, Roy Makaay na wengineo ambapo moja ya mafanikio yao ni kumtoa Bingwa mtetezi Ac Milan katika Uefa mara baada ya mechi ya kwanza Depo kufungwa 4-1 ugenini kabla ya kuwafunga mabingwa hao 4-0 nyumbani.
Happy birthday to Pandiani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom