Makapuku Forum

Jimena nakubaliana na wewe ila sisi wanaume huwa tuna amini kwamba mwanamke yeyote anayeonyesha ugumu mwanzon wakati unamwa-approach huyu ndiye atakuja kukukubalia mwishoni so na amini jambilo hajapoteza track saaana wacha tutaona mwisho..
Tayari mkuu ila usiwaambie washkaji c wajua huyu jimena mkali wengi wamfukuzia!
 
Tulikuwa wachumba jimena hata kuonjana hatuja..
 
Sasa kwani jambilo ni wa kwanza kutupia karata yake??? Waswahili wanasema maji yakija kasi yaache yapite.... Hivyo nae atafika mahali atakubali matokeo kuwa hatakiwi na atarudi kwa mama mchungaji
0K...Ila naona atleast yeye amekomaa kiaina ukilinganisha na waliopita...Wacha tuone maana tumeambia wanawake mmeumbiwa roho ya huruma so otokubali kuona mtoto wa mwenzako akuteseka kwa mda mrefu sababu yako..
 
Atasubiri sanaaaaaaaaa!!!!
Usisahau na Sizzya007 nae bado anafukuzia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…