Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Baelezee hao mikia![]()
![]()
![]()
Endelezeni kupiga umbea halafu mnafungwa hadi na TOTO tena U/Taifa
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Baelezee hao mikia![]()
![]()
![]()
Endelezeni kupiga umbea halafu mnafungwa hadi na TOTO tena U/Taifa
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Tayari mkuu ila usiwaambie washkaji c wajua huyu jimena mkali wengi wamfukuzia!
Eti mieKwani jambilo anamtaka nani hapa
yani anapenda sana kumfedhehesha mkewe na waumini wake kwa ujumla
Tulikuwa wachumba jimena hata kuonjana hatuja..Kumbe we hukuanzia mwanzo. Jambilo ni wa Patience123 haijalishi anajitoa ufahamu kiasi gani kwangu namuhesabu kama baba Mchungaji na mume halali wa patience123 sasa kilichounganishwa na Manuu mtu na asijajiribu kukitenganisha ndomana namsisitiza kuwa hawezi kufanikiwa
Hajaachika ila anajifanya kapindaKweli kabisa hata mi ni shahidi huyu mchungaji itakua ameachika tu

Mkuu eden nimpata jimenaKwani jambilo anamtaka nani hapa
Kwani amemwacha au kaachika hii si kawaidaFuatilia nyendo zake tu maana kitu ninachofurahi jambilo ni muwazi yeye asubiri giza ndo aanze kuita... psiiii mchana kweupe na wife yupo hapo ye anaanza tongoza tu..
Tusidanganyane kabisaaaaTulikuwa wachumba jimena hata kuonjana hatuja..
laa hasha mi nakukataa kwasababu ninae nimpendae0K...Ila naona atleast yeye amekomaa kiaina ukilinganisha na waliopita...Wacha tuone maana tumeambia wanawake mmeumbiwa roho ya huruma so otokubali kuona mtoto wa mwenzako akuteseka kwa mda mrefu sababu yako..Sasa kwani jambilo ni wa kwanza kutupia karata yake??? Waswahili wanasema maji yakija kasi yaache yapite.... Hivyo nae atafika mahali atakubali matokeo kuwa hatakiwi na atarudi kwa mama mchungaji
Wewe!!? Patience vipi tenaMkuu eden nimpata jimena
Hahahaa...Usiku mwema tena mkuu? me nilidhani wewe ni kapuku kumbe unaishi ulaya? maana ulaya nasikia huku tukiwa na mwanga giza linakuwepo ulaya wallah! Ukirudi niletee kengele za baisikeli,huku zinatoka sana!
Atasubiri sanaaaaaaaaa!!!!0K...Ila naona atleast yeye amekomaa kiaina ukilinganisha na waliopita...Wacha tuone maana tumeambia wanawake mmeumbiwa roho ya huruma so otokubali kuona mtoto wa mwenzako akuteseka kwa mda mrefu sababu yako..
Mpaka sasa hujaaribu zidisha kulia yaan lia naye saana ataeleweka tu maana niliona mahali alitoa option ya labda ubadili ID...Tayari mkuu ila usiwaambie washkaji c wajua huyu jimena mkali wengi wamfukuzia!
Mke ndio mimi hapa mpendwa. Anajikosha kaniacha ila ndo ndani nlishaingia..hanitoi hata kwa maombi,seuze ndumbanasikia unachepuka...Una mke wewe..Kweli?
Asante, karibu tena.Sawa kapuku, nimekuelewa kapuku nimekupata kapuku, salute kapuku...... kapuku bwana mna mambo nyie
Cjaachika niliacha mkuuKweli kabisa hata mi ni shahidi huyu mchungaji itakua ameachika tu