Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Hahaha mshana jr nitonye kanifurahisha sanaHahhahahaaaa wasamehe bure wamekukaribisha lililo kuu ni UPENDO
Hahaha mshana jr nitonye kanifurahisha sanaHahhahahaaaa wasamehe bure wamekukaribisha lililo kuu ni UPENDO
Mrembo but kasi yangu haiwezi c wajua mm mchungaji kijana halafu..Wewe!!? Patience vipi tena
Unaniombea nin mbona kama nakumisiMke ndio mimi hapa mpendwa. Anajikosha kaniacha ila ndo ndani nlishaingia..hanitoi hata kwa maombi,seuze ndumba

Hana pesa atashindana na gwajimSizza 007 sijui yuko wapi naona jambilo unaingia anga za watu
Dogo ganiJimena yule dogo alikua anakutania sasa hivi karydi kijini amegufulika

Amekiri kapewa za uso sasa ni mpole mpeni nitonye likeMwambie huyu nitonye ajiangalie mshana jr
Umeitwa??????Tatizo lenu nyie makapuku hamjiamini halafu hamjui historia vizuri ya chit chat
We mbona kama unakua mshenga wa jambilo0K...Ila naona atleast yeye amekomaa kiaina ukilinganisha na waliopita...Wacha tuone maana tumeambia wanawake mmeumbiwa roho ya huruma so otokubali kuona mtoto wa mwenzako akuteseka kwa mda mrefu sababu yako..
Hii ndo hofu yangu mnanisaliti nimeonyeshwaNazidi kukupenda shemeji yangu..Komaa nae hivyo hivyo..
Bado unaleta fyoko, makapuku wamepinda watakuharia usoni kijanaTatizo lenu nyie makapuku hamjiamini halafu hamjui historia vizuri ya chit chat
Mkuu jimena tiyariWe jimena humwezi kabisa
Tengua hii kauli yako mara moja namuheshimu sana shemeji yangu Patience123 na niko nae pamoja kuhakikisha ndoa yake inaendelea..We mbona kama unakua mshenga wa jambilo
Imekua league now si uwe wazi tuAtasubiri sanaaaaaaaaa!!!!
Usisahau na Sizzya007 nae bado anafukuzia
Anawalia pesa nyie huyu ni wanguHahahaaa na we hujawa wazi ndio maana wanakufuatilia sana jimena
Hahahaa wewe ndio mama mchngaji kuna kitu unamnyima sio bureMke ndio mimi hapa mpendwa. Anajikosha kaniacha ila ndo ndani nlishaingia..hanitoi hata kwa maombi,seuze ndumba
Mtumish kwa jinsi ulivyobadili gia angani lazima tuwe karibu sana na Patience123 shemeji yangu tukimfariji na kumtia moyo..Hii ndo hofu yangu mnanisaliti nimeonyeshwa
Nnammis kiaina ujueMtumish kwa jinsi ulivyobadili gia angani lazima tuwe karibu sana na Patience123 shemeji yangu tukimfariji na kumtia moyo..