eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Naona ameanza kukuzengeaMchungaji wa nzi jambilo
Naona ameanza kukuzengeaMchungaji wa nzi jambilo
Nani akutonye wew mbea bhanaSawa kapuku, nimekuelewa kapuku nimekupata kapuku, salute kapuku...... kapuku bwana mna mambo nyie
Mwambie huyu nitonye ajiangalie mshana jrHabari za siku tele nitonye
Hapana ni dada yetu mkongwe kanikaribisha JF...mengine yote ni ziada tuu EdMwambie huyu nitonye ajiangalie mshana jr
Jimena unaona fahari gani kuniangika msalabani jamnEti mie![]()
![]()
yani anapenda sana kumfedhehesha mkewe na waumini wake kwa ujumla
Nazidi kukupenda shemeji yangu..Komaa nae hivyo hivyo..Mke ndio mimi hapa mpendwa. Anajikosha kaniacha ila ndo ndani nlishaingia..hanitoi hata kwa maombi,seuze ndumba
Nimenyooka balaaHajaachika ila anajifanya kapinda![]()
![]()
![]()
Ukileta uzushi unafanyiwa magumashi
Ukileta fujo unafanyiwa vurugu
Ukija kwa upole unakaribishwa
Ukionesha upendo pia utapendwa
![]()
![]()
![]()
...............
We jimena humwezi kabisaTayari mkuu ila usiwaambie washkaji c wajua huyu jimena mkali wengi wamfukuzia!
She is takin ur breath away manuuHoney, Loving you is like breathing-I can't stop...
Jimena yule dogo alikua anakutania sasa hivi karydi kijini amegufulikaTusidanganyane kabisaaaa
Sasa basi mi sio kwamba nakukataa sababu hiyo![]()
![]()
laa hasha mi nakukataa kwasababu ninae nimpendae
Hahahaaa na we hujawa wazi ndio maana wanakufuatilia sana jimenaEti mie![]()
![]()
yani anapenda sana kumfedhehesha mkewe na waumini wake kwa ujumla
Historia hata mbuzi anayoTatizo lenu nyie makapuku hamjiamini halafu hamjui historia vizuri ya chit chat
Tulikuwa wachumba jimena hata kuonjana hatuja..
Hahahaa noma sana hiiHajaachika ila anajifanya kapinda![]()
![]()
![]()