Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,247
Tumekupata kubwa lao, pamoja sana!1/Ugonjwa wa Moto![]()
Huu ndo ugonjwa mbaya zaidi duniani..huweza husababisha na sababu mbalimbali km vile,.. kisukari, shinikizo la jyu la damu na uzito uliopitiliza
Kwa kugundua uzito wa tatizo hili serikali imeanzisha Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete pale Muhimbili
Ndio ugonjwa unaomsumbua Yusuf Manji
Huua watu milioni 7.2 kwa mwaka
Tukutane kesho
Mwisho
.......
