Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Hakuwa wa mchezo bali upendo wake kwa watz ulifunika dhambi nyingi mnoHistoria nzuri sana hii mkuu Mussolin5
Kumbe JKN naye alikuwa ni dikteta aliye ficha makucha yake
Hakuwa wa mchezo bali upendo wake kwa watz ulifunika dhambi nyingi mnoHistoria nzuri sana hii mkuu Mussolin5
Kumbe JKN naye alikuwa ni dikteta aliye ficha makucha yake
Karibuni nitaanza kutumia avatar ya Oscar KambonaSura yake tu imekaa kijanjajanja na kitapelitapeli kwanini Mwalimu asiwe na mashaka![]()
![]()
![]()
![]()
Hapa wakati akiwa Waziri Wa Mambo ya Nje
Hapa Nyerere akiwa na bibi Titi Mohammed![]()
Mkuu ni hulka ya binadamu kumuonea wivu anayemzidi kiuwezo au hata kielimu na mvuto
Hili andiko lako kuntu sana nimelisave
Shukrani
......
Nilifugia kuku mwenzako10/Malaria![]()
Huu ugonjwa huenezwa na mbu jike airways Anopheles
Unashambulia zaidi bara la Afrika kutokana na hali ya kijiografia
Mnakumbuka serikali ilianzisha kampeni ya kugawa vyandarua vya dawa....mwenzenu niliishia kuvulia kambale tu maana hakienei kitandani
Husababisha vifo takribani Milioni 1 kila mwaka
.......
Hakika unayo mengiJitahidi Mkuu, hukusikia yule binti aliyejitosa baharini akitaka arudishwe kwa jamaa yake Mtaganyika? Muungano unayo mazuri mengi bana.
ushafyatua wangapi??sad kwakweli
naivuta taswila ya usemi wako bora nijilinde mwenyewe
naona hapo kunatatizo dr.lee anaakili sana angeweza angekwambia ujilinde mwenyewe
yeye kama doctor alijua kabisa vishawishi ni vingi sana ndo mana kaniambia nikulinde mimi na kwanini hakumwambia nyagei,mondray
hivo alijua iyo kazi haiwezi nishinda worryout shemela
Mpore => mpolekutokuoneka shem kusikupe shida nisipooneka means nikija online nitafatilia kwa umakini
afu kama nakuona ulivyokuwa mpore![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tushukuru sisi tulikuja tukiwa salama salimini5/Vifo vitokanavyo na uzazi![]()
Kuna usemi kwamba ujauzito ni nusu ugonjwa
Vifo vinavyoongelewa ni vya mama wajawazito pamoja na vya watoto wachanga wakati wa kujifungua
Huathiri zaidi nchi maskini kutokana huduma mbovu za afya
Kina mama nusu Milioni na watoto zaidi ya 2.5 Milioni hufariki
Jumla ni vifo 3+ Milioni
......
Nashukuru Mungu bado anatupenda Kiasinipo poa sana sijui ww shem
Hakika mkuuHakuwa wa mchezo bali upendo wake kwa watz ulifunika dhambi nyingi mno
Inaumiza sana2/Kiharusi![]()
Kitaalamu unaitwa Stroke kwa Lugha rahisi ni kupooza
Ikumbukwe ili ubongo iweze kufanya kazi unahitaji hewa ambayo husafirishwa kupitia kwenye damu hivyo chakula cha ubongo ni damu sasa kiharusi hutokea pale damu inapofeli kufika ubongoni au kufika chini ya kiwango kwa sababu mbalimbali mfano mishipa kupasuka, shinikizo la juu ladamu n.k
Mgonjwa wa kiharusi sio tu hupooza mwili bali pia akili
Huua watu 6.1 Milioni kwa mwaka
.......
.........
1/Ugonjwa wa Moyo![]()
Huu ndo ugonjwa mbaya zaidi duniani..huweza husababisha na sababu mbalimbali km vile,.. kisukari, shinikizo la jyu la damu na uzito uliopitiliza
Kwa kugundua uzito wa tatizo hili serikali imeanzisha Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete pale Muhimbili
Ndio ugonjwa unaomsumbua Yusuf Manji
Huua watu milioni 7.2 kwa mwaka
Tukutane kesho
Mwisho
.......
Ni ugonjwa gani unasababisha kuwa na ukimwi?7/Ukimwi![]()
Huu huenezwa zaidi kwa kujamiiana(hatachi ng'o}
Haina tiba bali una kings(kondomu)....Zamani mtu akiugua hili gonjwa ilikuwa ni rahisi kumjua ila siku hizi ARV zimewafanya watu wanenepe na kupunguza vifo vya mapema
Huua watu 1.8 Milioni kwa mwaka
.....
Ndiyo hivyo hakupenda kufaAlilia sababu ya muungano
ebwana bitozi natoka kwenye topic kidogo...9/Kifua KikuuHuu ugonjwa huenezwa na bacteria kwa njia ya hewa...huathiri zaidi mapafu lakini pia huweza kuenea hadi ktk vuingo zingine![]()
Mgonjwa hupoteza uzito kwa kiwango kikubwa
Husababisha vifo 1.4 Milioni kwa mwaka
......