BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nzuri namshukuru Munguhabar ya saa hii mama mchungaji ??
Nzuri namshukuru Munguhabar ya saa hii mama mchungaji ??
Ni baba mchungaji huyo usiniulize mama mchungaji yuko wapivip injili unapiga mukongo??
make sikuile nilikushuku kwamba we ni mzee wa videmu na uchungaji wapi na wapi
nyagei alikutetea exactly kabisa kwamba hata manabii nao walikuwa na wake wengi sembuse wewe![]()
![]()
![]()
Poa shem Lake uko poa lakiniNyagei mambo yako
AmenAmen Nyagei Mungu awe pamoja na wewe![]()
AmeshapumzikaYeah! Nadhani Nyerere angewasikiliza Kambona na Mtei tungekuwa na Mentality tofauti na tungekuwa mbali kiuchumi
Ndo lenyewekaboka namkumbuka sijui ni gazeti la kasheshe hivi
Alilia sababu ya muunganoHahahaaaaaaa, kwenye kisiwa cha chumbe palipo na mnara wa kuongozea meri, cha ajabu alikuwa anapiga mbizi huku analia,mpaka anaokolewa analia tu, je kilichokuwa kinamliza ni nini?
Tuombe amani iendelee MwaduiSo sad and painful![]()
Habari za Mapumziko ya Muungano Makapuku wenzangu!
Tunaendelea na kusikiza muziki na tukiangalia zaidi 'ladha' inayoletwa na nyuzi za gitaa. Na kama kawaida leo tena tunamwangalia gwiji la muziki Tanzania 'Sauti ya Mnyonge' Daktari Remmy Ongala.
Wengi tunajua nyimbo za dokata zilijikita katika kuelezea maisha ya kila siku yanayotukabili katika nyanja za umaskini, uonevu, ukimwi, ufisadi wa kiserikali na mapenzi.
Dr alipendezesha nyimbo zake kwa sauti tamu ya gitaa lake la nyuzi sita ambalo ukilisikiza kwa makini lina ladha kama ya Komandoo Hamza Kalala akipigia Vijana Jazz enzi hizo.
Nyimbo za Dokta Remmy mbali na utamu wa nyuzi utasikia kwa uzuri kabisa upigwaji mahiri wa ngoma zile za umeme na tumba. Mpiga gitaa mwingine katika Matimila alikuwa ni Kawele Multimanwa
Hapa ni clip ya Kipenda Roho toka YouTube. '...penzi halina ubaguzi, mbele ya mapenzi kiwete anatembea, kichaa anapewa penzi..."
Shunie lee empire
aisee ugonjwa mbaya sanaJK aliwahi hospitali akafanyiwa upasuaji akapona
Katika kila watu 4 wanaougua saratani ni mmoja pekee anayelikimbia kaburi
.....
hapana bana sio mpolekutokuoneka shem kusikupe shida nisipooneka means nikija online nitafatilia kwa umakini
afu kama nakuona ulivyokuwa mpore![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hana lkn nikimuuliza ataniambia tu![]()
![]()
kwan unahis anazo izo tezi dume
nipo poa sana sijui ww shemPoa shem Lake uko poa lakini
hahahhhNdo lenyewe
Dingi alikuwa akinikuta nasoma nachezea kwenzi za kutosha
....
sad kwakweli5/Vifo vitokanavyo na uzazi![]()
Kuna usemi kwamba ujauzito ni nusu ugonjwa
Vifo vinavyoongelewa ni vya mama wajawazito pamoja na vya watoto wachanga wakati wa kujifungua
Huathiri zaidi nchi maskini kutokana huduma mbovu za afya
Kina mama nusu Milioni na watoto zaidi ya 2.5 Milioni hufariki
Jumla ni vifo 3+ Milioni
......
Historia nzuri sana hii mkuu Mussolin5Oscar Kambona alikuwa ni mmoja kati marafiki wakubwa watatu almaarufu kama 3K. Yaani Kambarage, Kawawa na yeye mwenyewe Kambona.
Oscar Kambona alikuwa ni mmoja mwa miongoni mwa marafiki watatu walioshibana ambao walijulikana kama 3K. Yaani Kambarage, Kawawa na Kambona.
Yeye alikuwa ni msomi haswa na mjanja mjanja yaani mtoto wa mjini.
Tofauti na Kawawa ambaye yeye alikuwa ni mtu wa kukubali kila alichoambiwa na Nyerere.
Oscar Kambona aliombwa na Nyerere arudi nyumbani kutoka Uingereza ili waje kujenga Nchi na haishangazi Oscar akawa Waziri wa Kwanza kabisa wa Mambo ya Nje na Ulinzi.
Ujanja na akili za Oscar zilimuogopesha Nyerere akawa yuko makini nae na hata alipoamua kujiuzulu Uwaziri Mkuu na kumuachia Kawawa nchi kwa mmoja ili yeye akajenge chama mikoani aliamua amuachie Kawawa maana angemuachia Kambona asingekuja kupata tena madaraka yake.
Januari 20 mwaka 1964 Jeshi lilipoasi na kutaka kumpindua Nyerere, ni Oscar Kambona ndiye aliyezima maasi ya jeshi wakati ambapo Nyerere na Kawawa walikuwa Mafichoni huko Kigamboni kwa siku mbili wakishindia mapapai.
Baada ya hali kutulia, Kambona alimwambia Nyerere arudi aongoze nchi na kweli mwalimu akarudi akaendelea kutawala na akalivunja jeshi ndipo JWTZ ilipozaliwa Septemba 1 mwaka 1964.
Nyerere kuanzia tukio hilo akaanza kukosa amani na Oscar na kuanza kumpotezea mdogomdogo katika mambo yake muhimu.
Ilipofika mwaka 1967, Mwalimu akaja na wazo la sera ya Ujamaa huku akitambulisha Azimio la Arusha, ni kupitia sera hii Oscar Kambona akampinga hadharani Mwalimi Nyerere juu ya muundo wa sera na itikadi za Ujamaa akidai kwamba Nchi badala ya kupiga hatua mbele, badala yake itapiga maendeleo nyuma. Vilevile alipinga sera ya mfumo wa chama kimoja na uanzishwaji wa Vijiji vya Ujamaa. Hivyo Oscar akasema haungi mkono sera hiyo. Akatofautiana rasmi na Nyerere.
Nyerere akamuamishia Oscar katika wizara ya maendeleo vijijini ili kupunguza nguvu ya Oscar. Lakini asikuambie mtu, Oscar akaanza kuwa maarufu kila alipotembelea katika ardhi hii ya Tanzania. Style yake ya kunyoa ilikua maarufu kipindi hiko na ikawavutia walio wengi, ilijulikana kama Kambona style.
Baada ya Umaarufu kuwa mkubwa Oscar aliutaka Urais jambo ambalo Nyerere hakuliafiki hivyo akapewa masaa 24 asiwepo Nchini vinginevyo angekamatwa na kuwekwa kizuizini.
Oscar akatoroka kupitia Kenya na baadae Uingereza ambapo akiwa huko akawa anaratibu mipango ya kumpindua Nyerere Oktoba mwaka 1969 katika Jaribio la pili kati ya Majaribio matatu ya Kumpindua Nyerere kwani alikuwa anatuma pesa kwa akina Bibi Titi Mohamed lakini mpango huo ukakwama na akina Bibi Titi wakakamatwa na kuwekwa Kizuizini kwa amri ya Rais.
Oscar akajichimbia Uhamishoni Uingereza huku nchini akionekana kama Mhaini na Msaliti hivyo historia yake ikaanza kufutwa na kutungiwa nyimbo za kumdhalilisha kwamba ameolewa huko Uingereza. Nyimbo hizo zilikuwa zikiimbwa hukoMashuleni na hata Jeshini JKT.
Mwaka 1992 Oscar Kambona alirudi nyumbani lakini akiwa ameshazeeka, aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Ndani Agustino Mrema akatangaza atamkamata ili akajibu kesi yake ya Uhaini, lakini Mwalimu Nyerere akasema muacheni nimeshamsamehe.
Alikaa mpaka mwaka 1997 kabla ya kushikwa na maradhi akarudi Uingereza kutibiwa na kufariki kabla ya mwili wake kurudishwa nyumbani ni kwenda kuzikwa kwao huko Songea.
Huo ndio ukawa mwisho wa Oscar Kambona, mmoja kati ya wasomi wa kwanza kabisa nchini pamoja na waasisi wa Muungano.
Hivyo yoyote aliyejaribu kupambana na Mwalimu alipotezwa, kuanzia yeye mpaka historia yake. HISTORIA yake imefunikwa na watawala.
Ni mmoja kati ya wanasiasa bora kuwahi kutokea nchi hii ambao hawakuwahi kuwa Marais kando ya Mark Mwandosya, Salim Ahmed Salim na Edward Sokoine.
Adui wa Nyerere alifanywa adui wa Taifa.
Ukimwi ni Upungufu Wa Kinga Mwilinimmmh ugongwa hatar naskia pia haunatofauti sana na ukimwi![]()
![]()
![]()