Makapuku Forum

Tumekufa kiume mara sijui nini kufakufa tu yaani unataka kunianbia aliekufa kwa maleria aonekane mzembe ila aliekufa kwa ukimwi anekane shujaa mashabiki wa yanga acheni hizo

Endelezeni kupiga umbea halafu mnafungwa hadi na TOTO tena U/Taifa

..................
 
Kweli kabisa hata mi ni shahidi huyu mchungaji itakua ameachika tu
 
Sawa kapuku, nimekuelewa kapuku nimekupata kapuku, salute kapuku...... kapuku bwana mna mambo nyie
 
Jimena nakubaliana na wewe ila sisi wanaume huwa tuna amini kwamba mwanamke yeyote anayeonyesha ugumu mwanzon wakati unamwa-approach huyu ndiye atakuja kukukubalia mwishoni so na amini jambilo hajapoteza track saaana wacha tutaona mwisho..
Sasa kwani jambilo ni wa kwanza kutupia karata yake??? Waswahili wanasema maji yakija kasi yaache yapite.... Hivyo nae atafika mahali atakubali matokeo kuwa hatakiwi na atarudi kwa mama mchungaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…