Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Je vipi kuhusu shughuli za uvuvi na watu kuoga humo ziwani?Tongotongo la Asubuhi![]()
![]()
Lake Hillier
Ndio Ziwa pekee duniani lenye maji ya rangi ya pink
Kamwe maji yake hayajawahi kubadilika rangi pia Wanasayansi wamejaribu kugundua chanzo cha hayo maji kuwa ya pink lakini bado hadi leo hawajui
Linapatikana Magharibi mwa nchi ya Australia
Asubuhi njema
...........