Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante kwa magazeti mkuu Shululu

Hongera sana kwa siku yako kubwa ya kumbukumbu ya kuzaliwa.

Namwomba Mungu akupe maisha marefu,hekima,furaha.

Akupe haja ya moyo wako

Ufanikiwe katika kila hatua ya maisha yako.

Mungu awe nawe daima .

UBARIKIWE
[emoji490] [emoji490] [emoji513] [emoji513] [emoji490] [emoji490] [emoji525] [emoji489] [emoji489] [emoji480]
Asante mama mtumishi
 
Haswaa

Yule jamaa alianza mapema kula mema ya muungano wazee wakaingilia.

Itakuwa kuna vitu alifanya sio bure mpaka mtoto aamue kujitosa afe kuliko kumkosa mtu wa bara.

Hivyo yule jamaa ana umuhimu sana kwenye harakati hii
Hahahaaaaaaa, kwenye kisiwa cha chumbe palipo na mnara wa kuongozea meri, cha ajabu alikuwa anapiga mbizi huku analia,mpaka anaokolewa analia tu, je kilichokuwa kinamliza ni nini?
 
54fed0595981f783d1c7fab7ae8bee49.jpg
b08e8fde55d7b558fc1b56469e29a92c.jpg
So sad and painful[emoji120]
 
Back
Top Bottom