Makapuku Forum

1947 - Johan Cruyff anazaliwa.

Staa wa zamani wa Ajax, Barcelona na timu ya taifa ya Uholanzi.

Mmoja kati ya wanasoka bora kuwahi kutokea Duniani.

Ndio muasisi wa chuo maarufu cha soka cha Barcelona, La Masia.
mkuu nimeona breaking news, uwanja wa ajax fc officially wameubadilisha jina toka Amsterdam arena saiz utaitwa Johan cruyff arena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…