Hahahahaa shem mie sitaki kucheka, lkn hujui tu niliacha kuangalia mechi za Arsenal kitambo, na nlijiwekea kiapo kuwa sitawaangalia hadi yule mzee akitoka paleNilijua tu Arsenal ashinde nawe uwe mgonjwa ingekuwa maajabu.
Hongera kwa ushindi wa juzi
BTW niko salama kabisa
Afe kafanya nn tena jamanPoa, naona unataka kushuhudia kifo cha musollin
Wewe sio mnazi kumbeHahahahaa shem mie sitaki kucheka, lkn hujui tu niliacha kuangalia mechi za Arsenal kitambo, na nlijiwekea kiapo kuwa sitawaangalia hadi yule mzee akitoka pale
Ndio mkuu ili tupate undani wakePoa, naona unataka kushuhudia kifo cha musollin
Anhaa basi sawaHahahahaa shem mie sitaki kucheka, lkn hujui tu niliacha kuangalia mechi za Arsenal kitambo, na nlijiwekea kiapo kuwa sitawaangalia hadi yule mzee akitoka pale
Hata kama bwana, yule mzee anaboa sanaWewe sio mnazi kumbe
Poa poaAnhaa basi sawa
AiseeKUHUSU TRENI YA GWAJIMA
Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ana mpango wa kununua treni ya umeme.
Gwajima ameyasema hayo wakati ibada ya Jumapili katika kanisa lake lililopo Ubungo.
"Nilipata maono wakati wa uzinduzi wa helicopta yangu kwa hiyo najua nitanunua kwa pesa yangu mwenyewe," alisema
Mchungaji huyo maarufu alisema atanunua treni hiyo kwa bei ya Sh11bilioni.
Yule atatoka na timu itaendelea kuwepoHata kama bwana, yule mzee anaboa sana
Ubarikiwe sana Mkuu Mussolin5 asante kwa historia kazi yako ni njemaLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Yaaa nalifahamu hilo, lkn baada ya yy kutoka labda twaweza ondokana na ukame wa makombeYule atatoka na timu itaendelea kuwepo
Tujitahidi sana kuharibu mazaliabya mbu,kuwahisha wagojwa hospitali,kulala kwenye chandarua zenye viuatilifu kupunguza vifo vinavyotokana na malaria,ulemavu utokanao na degedege na homa kali,nguvu kazi ya taifa inayopotea kwa vifo,kushinda kwenye misiba itikonayo n malaria,kushuka kipato kutokana na matumizi ya rasilimali katika kuuguza na watoto kushuka mahudhurio kutokana na kuugua malaria.- Leo ni siku ya Malaria Duniani.
HBD David Moyes1963 - David Moyes anazaliwa.
Kocha wa sasa wa Sunderland ambaye pia amewahi kufundisha katika vilabu vya Everton na Man Utd.
HBD Johan. Cruyff1947 - Johan Cruyff anazaliwa.
Staa wa zamani wa Ajax, Barcelona na timu ya taifa ya Uholanzi.
Mmoja kati ya wanasoka bora kuwahi kutokea Duniani.
Ndio muasisi wa chuo maarufu cha soka cha Barcelona, La Masia.
Karibu sanaAsante mama mtumishi, hapa makapuku tunapata kila kitu
Pole mkuu Mussolin5Mussolini akiwa na swahiba wake Hitler
Baada ya kumkamata walimpa adhabu gani?
...
Hongera President Madam Violeta Chamorro1990 - Violeta Chamorro anakuwa Rais wa kwanza mwanamke katika nchi ya Nicaragua.
Asante dear ValentinaAsante kwa neno mama mchungaji