Makapuku Forum

Makapuku Forum

KUHUSU TRENI YA GWAJIMA
e0419d05d85209fa65b4e05200bf0c96.jpg

Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ana mpango wa kununua treni ya umeme.
Gwajima ameyasema hayo wakati ibada ya Jumapili katika kanisa lake lililopo Ubungo.
"Nilipata maono wakati wa uzinduzi wa helicopta yangu kwa hiyo najua nitanunua kwa pesa yangu mwenyewe," alisema
Mchungaji huyo maarufu alisema atanunua treni hiyo kwa bei ya Sh11bilioni.
 
Aisee
 
- Leo ni siku ya Malaria Duniani.
Tujitahidi sana kuharibu mazaliabya mbu,kuwahisha wagojwa hospitali,kulala kwenye chandarua zenye viuatilifu kupunguza vifo vinavyotokana na malaria,ulemavu utokanao na degedege na homa kali,nguvu kazi ya taifa inayopotea kwa vifo,kushinda kwenye misiba itikonayo n malaria,kushuka kipato kutokana na matumizi ya rasilimali katika kuuguza na watoto kushuka mahudhurio kutokana na kuugua malaria.

Mungu atusaidie tuchukue hatua za makusudi kushirikiana kutokomeza malaria
 
maxresdefault.jpg

Oktoba 20, 2014, TAREHE KATIKA HISTORIA
Miaka 62 iliyopita muwafaka na leo, Jomo Kenyatta mwanaharakati, mwanasiasa na mpigania uhuru mashuhuri barani Afrika na Rais wa Kwanza wa Kenya alitiwa mbaroni kufuatia amri ya utawala wa kikoloni nchini Kenya. Mzee Kenyatta alikuwa miongoni mwa watu 100 mashuhuri nchini humo waliotiwa mbaroni katika kipindi cha masaa 24 ikiwa ni katika fremu ya mpango wa kuibana Mau Mau, kundi la wapiganaji wa Kenya waliokuwa wakiupinga utawala wa kikoloni wa Waingereza. Siku hii inajulikana nchini humo kuwa Siku ya Mashujaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom