BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Karibu sanaAmen
Ahsante kwa neno zuri la asubuhi Ubarikiwe
Mama mchungaji BlessedHope
Uwe na siku njema

Ni zile sadaka tu au kuna chanzo kingine?Aisee
Karibu sana

Nashukuru sana Mamndenyi![]()
Oktoba 20, 2014, TAREHE KATIKA HISTORIA
Miaka 62 iliyopita muwafaka na leo, Jomo Kenyatta mwanaharakati, mwanasiasa na mpigania uhuru mashuhuri barani Afrika na Rais wa Kwanza wa Kenya alitiwa mbaroni kufuatia amri ya utawala wa kikoloni nchini Kenya. Mzee Kenyatta alikuwa miongoni mwa watu 100 mashuhuri nchini humo waliotiwa mbaroni katika kipindi cha masaa 24 ikiwa ni katika fremu ya mpango wa kuibana Mau Mau, kundi la wapiganaji wa Kenya waliokuwa wakiupinga utawala wa kikoloni wa Waingereza. Siku hii inajulikana nchini humo kuwa Siku ya Mashujaa.
Hongera mashujaa![]()

Mamndenyi ubarikiwe karibu![]()

Majukumu wakwetuMerci Papa
Baba mchungaji unaadimika sana
Huo mkasa ndio "TINAUTAMANI" uulezee N'goshiHahaha...ni mkasa mrefu sana.

Umechagua fungu jemaHahahahaa shem mie sitaki kucheka, lkn hujui tu niliacha kuangalia mechi za Arsenal kitambo, na nlijiwekea kiapo kuwa sitawaangalia hadi yule mzee akitoka pale

Ana mawe!!!KUHUSU TRENI YA GWAJIMA
![]()
Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ana mpango wa kununua treni ya umeme.
Gwajima ameyasema hayo wakati ibada ya Jumapili katika kanisa lake lililopo Ubungo.
"Nilipata maono wakati wa uzinduzi wa helicopta yangu kwa hiyo najua nitanunua kwa pesa yangu mwenyewe," alisema
Mchungaji huyo maarufu alisema atanunua treni hiyo kwa bei ya Sh11bilioni.
Nice day tooAsante kwa magazeti mkuu Shululu ubarikiwe kazi yako ni njema
Mukongo kwenye ubora wakoKama si "Mnazi" basi atakuwa ni "Mparachichi"![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio tunasubiriHuo mkasa ndio "TINAUTAMANI" uulezee N'goshi![]()
Na wewe piaJamani nawatakia siku iliyo njema,Mungu awatangulie kwa kila mlifanyalo
Seeing the invisible.KUHUSU TRENI YA GWAJIMA
![]()
Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ana mpango wa kununua treni ya umeme.
Gwajima ameyasema hayo wakati ibada ya Jumapili katika kanisa lake lililopo Ubungo.
"Nilipata maono wakati wa uzinduzi wa helicopta yangu kwa hiyo najua nitanunua kwa pesa yangu mwenyewe," alisema
Mchungaji huyo maarufu alisema atanunua treni hiyo kwa bei ya Sh11bilioni.
AhsanteeeeeNa wewe pia