Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,058
- 463,976
ww n wa kwetuSijakwepa eti
ww n wa kwetuSijakwepa eti
mahari tushakula wenyeweTatizo mahari hawatoi hata sh kumi!
Mkuu naona siku hizi kile cheo changu cha ushilawadu unataka kunipora!!.....Mungu anakuona!!Rudi kwa miss atafutae![]()
![]()
![]()

vyote kwapa mojaNi amri sio ombi
me pia kaka angu unaendeleajeNilikumiss dada
kuna kazi anaifanya kuwa na amanimimi bosi mzima mbona dr.. leo kalala mapema ivo
Mkuu Wanyaki wa pande zile wanahusudu/amani ushirikina ndo nilichoelezea piaof course it was real fantastic man, nilijifunza vitu vingi sana dat day, kitu kinachonishangaza sana, tulipo fika kwenye yale maji wale askota tuliopewa getini walituambia tufanye tunachoweza kuyafanyia yale maji lakini tusithubutu kuyaweka mdomoni wala kuchota kuondoka nayo, tulijaribu kuwauliza reason behind lakini waligoma kutuambia
amani ninayo shemkuna kazi anaifanya kuwa na amani
Nawe pia mkuuUsiku mwema
Mimi niwakanda pendwaww n wa kwetu
Nawe pia lothritoUsiku mwema
Pamoja bitozMkuu Wanyaki wa pande zile wanahusudu/amani ushirikina ndo nilichoelezea pia
Tukutane kesho wadau
.........
Asante sana sana![]()
Hilo Ziwa ni crater lake yaani lipo juu ya Mlima halafu hakuna mto unaoelekea wala kutokea huko
Lina tope sana ndo sababu kulihusisha na ushirikina kudai linameza watu wakati siyo kweli bali inatokana na kutokuwa na fukwe/beach hivyo ukiingiza tu mguu ni balaa
Rekodi yake pekee ninayoijua ni kwamba ni Crater Lake maarufu Tanzania
......
Nawe pia shululuNawatakieni usiku mwema
ulale vyema mkuuNawatakieni usiku mwema
jambo kwema ww ?jambo mkuu
N'GONO KANTE => NGOLO KANTE