Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
hamna bana kutoka moyoniYa kinafikiii
hamna bana kutoka moyoniYa kinafikiii
hahahha hakuna aiseeMaana hamna namna nyingine sasa
Too much is harmfulnitakufwaaaa nikipigwa ban
Ya kutoka moyoni kwa shemelaYa kinafikiii
Du aiseeNah, sio kwamba halifai bali njia ni mbaya mnoo, kwa kipindi nilichoenda mimi kama family tour ilikua 2009, kuna sehemu kulikua na kimlima kipo kwenye kona alafu kimeliwa sana na ile soil erosion so gari ikashindwa kupita, tulipoliacha pale gari tulienda umbali wa kama 3 or 2km's hadi tulipoanza kupandisha milima, alafu ardhi ya tukuyu ni laini sana, mvua kidogo tope linajaa.
pili wakati wa kushuka kwenda kugusa yale maji ya ziwa mvua zikinyesha kunateleza sana muda mwingine mnatumia kamba/mizizi ya miti kushuka, kuja kufika kule chini mnakua mmejaa tope mwili mzima
MmhToo much is harmful
NipoKwendaaaaa
Mahakama ya mwanzo
Jambo afandemkuu jambo
ndio boss saivi niko na experience sana hakuna anayenisumbua ufahamu wangu wa akili na naimudu vizur tuUmezoea kaziii??
UmepatikanaRafiki huku napaogopa sana sijui hata nimefikaje huku!!.....naomba nionyeshe njia ya kutoka please!!
Napaogopa huku kwa sababu wameiba dada zangu wote!rafiki ulipoingilia ndio utakapotokea unapaogopa kuna nn kwanza
Kapazoea hukoMkuu nina rafiki yangu ni dereva wa basi anavyo shuka na kuinuka na hiyo njia utafikiri barabara nzuri
Mimi ni MhachaKijitta
marahaba boss ujambojambo shikamoo
Fantastic tourNah, sio kwamba halifai bali njia ni mbaya mnoo, kwa kipindi nilichoenda mimi kama family tour ilikua 2009, kuna sehemu kulikua na kimlima kipo kwenye kona alafu kimeliwa sana na ile soil erosion so gari ikashindwa kupita, tulipoliacha pale gari tulienda umbali wa kama 3 or 2km's hadi tulipoanza kupandisha milima, alafu ardhi ya tukuyu ni laini sana, mvua kidogo tope linajaa.
pili wakati wa kushuka kwenda kugusa yale maji ya ziwa mvua zikinyesha kunateleza sana muda mwingine mnatumia kamba/mizizi ya miti kushuka, kuja kufika kule chini mnakua mmejaa tope mwili mzima
Mkuu pole na hilo lililo nje ya uwezo wakoWakuu tuwe na usiku mwemaa
..kesho niombe ntachekewaa kuweka magazeti kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu ...ASANTENI