Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
shemela mbona swala langu unalikwepa unaijua bohaMahakama ya mwanzo
shemela mbona swala langu unalikwepa unaijua bohaMahakama ya mwanzo
hamna bana kutoka moyoni

Wilaya gani mnapatikanaMimi ni Mhacha
Ni mzoefu ila mi nilimwambia huko sirudi tenaKapazoea huko
Nawe pia mtoto wa MaoWakuu tuwe na usiku mwemaa
..kesho niombe ntachekewaa kuweka magazeti kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu ...ASANTENI
hahahhhh si ndio vizuri walivyoiba dada zako au ulitaka kuwapeleka wapi dada zakoNapaogopa huku kwa sababu wameiba dada zangu wote!
Asanteni wakuuNah, sio kwamba halifai bali njia ni mbaya mnoo, kwa kipindi nilichoenda mimi kama family tour ilikua 2009, kuna sehemu kulikua na kimlima kipo kwenye kona alafu kimeliwa sana na ile soil erosion so gari ikashindwa kupita, tulipoliacha pale gari tulienda umbali wa kama 3 or 2km's hadi tulipoanza kupandisha milima, alafu ardhi ya tukuyu ni laini sana, mvua kidogo tope linajaa.
pili wakati wa kushuka kwenda kugusa yale maji ya ziwa mvua zikinyesha kunateleza sana muda mwingine mnatumia kamba/mizizi ya miti kushuka, kuja kufika kule chini mnakua mmejaa tope mwili mzima
sijambo mm sijui wwmarahaba boss ujambo
Nilikumiss dadahahahha
Vyediumeitika kama babu yangu wa kisambaa
Sijakwepa etishemela mbona swala langu unalikwepa unaijua boha
Ulale salama mkuuWakuu tuwe na usiku mwemaa
..kesho niombe ntachekewaa kuweka magazeti kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu ...ASANTENI
Tatizo mahari hawatoi hata sh kumi!hahahhhh si ndio vizuri walivyoiba dada zako au ulitaka kuwapeleka wapi dada zako
Rudi kwa miss atafutaeRafiki huku napaogopa sana sijui hata nimefikaje huku!!.....naomba nionyeshe njia ya kutoka please!!

iyo avatar yako futa iweke ya mwanzo mala moja!!!!!!!!!!!!!!!!!Jambo afande
thawa mkuu ulale unonoWakuu tuwe na usiku mwemaa
..kesho niombe ntachekewaa kuweka magazeti kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu ...ASANTENI
mimi bosi mzima mbona dr.. leo kalala mapema ivosijambo mm sijui ww
Ni amri sio ombiiyo avatar yako futa iweke ya mwanzo mala moja!!!!!!!!!!!!!!!!!
NtanaVyedi

of course it was real fantastic man, nilijifunza vitu vingi sana dat day, kitu kinachonishangaza sana, tulipo fika kwenye yale maji wale askota tuliopewa getini walituambia tufanye tunachoweza kuyafanyia yale maji lakini tusithubutu kuyaweka mdomoni wala kuchota kuondoka nayo, tulijaribu kuwauliza reason behind lakini waligoma kutuambiaFantastic tour