Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
UnamponzaaKazi ipo
UnamponzaaKazi ipo
PoaTutumie picha ukibahatika
Mjibu tuMmh jamaan
Nakupataa japo kijiweniii watu wanatukimbiaakuhusu epl kuwa na pesa hilo sikatai mkuu,lakini kuhusu kutopumzika hilo si kigezo, mwaka 2008 man u anachukua ubingwa pale moscow wa uefa kwani walipumzika? vipi kuhusu come back ya liverpool dhidi ya ac millan pale instanbull? au alichowafanya drogba bayern kwenye uwanja wao 2012 kulikua na likizo yyte hizi timu zilipewa?
kinachofanya epl iwe ligi yenye ushindani ni kutokuwepo na m-babe baina yao, sababu wote level ni moja kwa sasa,
Ni nzuri sana kuwa level mojakuhusu epl kuwa na pesa hilo sikatai mkuu,lakini kuhusu kutopumzika hilo si kigezo, mwaka 2008 man u anachukua ubingwa pale moscow wa uefa kwani walipumzika? vipi kuhusu come back ya liverpool dhidi ya ac millan pale instanbull? au alichowafanya drogba bayern kwenye uwanja wao 2012 kulikua na likizo yyte hizi timu zilipewa?
kinachofanya epl iwe ligi yenye ushindani ni kutokuwepo na m-babe baina yao, sababu wote level ni moja kwa sasa,
mmh nimempigia kama kesi liniKuna kaziii??
Make alinambia unampigiagaa kama kuna kesii
sijaongea nae kama siku mbili tatu
jambo mkuumaana hakuna anayenimiss naona mnamissiana wenyewe kwa wenyewe acha na mie nijimiss tu maana hakuna namna![]()
![]()
![]()
ahhahhahKazi ipo
Mbona hujanipongezaa kwa kante Ngolo ....Mmh jamaan
Ila walipigwaMpira aliochezaa yaya T ndo mpira wake sasa kagusa wa kutoshaaa ....kiongo alipatiaa
hahahhaah in shunie's voiceNipo mimi
MhhhhhmhhhhhKuna kaziii??
Make alinambia unampigiagaa kama kuna kesii

Au umemuongaaa??khaaa
Mimi naangalia tuUnamponzaa
Ndio lugha gani hiyoYegho masika
hahaha acha tu shemela niwe bubu kwenye hiko kipengeleMjibu tu
Mweeehuuu weweee utapigwa baniihahahhaah in shunie's voice
mkuu jamboAna bahati sana next game ni LaLiga ingekuwa ni UEFA sijui tungesemaje
Atasubiri sana Wenger
Umezoea kaziii??jambo mkuu