Makapuku Forum

Asante kwa picha kutoka katika mkono wako mwenyewe!
Hata za Ziwa Nyasa nilikuwaga azo ila zilipotea
Kule Ngonga(Diamond alifanyia Tamasha hapo mwaka jana) na Matema Beach kupo poa kwa utalii tatizo kubwa ni barabara mbovu tu mwezi wa February nilikuta wameanza kuweka lami kuanzia Matema Beach kupitia Ipinda hadi Kikusya(Jyela Mjini)
Ndo kero kubwa iliyisababisha Mwakyembe apigwe chini sababu ya danadana kila mwaka zen akaiba kura!!!!!
........
 
Hivi ni ziwa hili ndio kuna jiwe la ajabu au nitakua nimechanganya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…