Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Kwa mawazo ya Zidane sidhani kama atahitaji huduma ya watu waleWanatakiwa wapate kiungo kama ngoro Kate, au Vidal
Kwa mawazo ya Zidane sidhani kama atahitaji huduma ya watu waleWanatakiwa wapate kiungo kama ngoro Kate, au Vidal
Thanks Be BlessedI'm good Madam.....Amen.....have a blessed n wonderful week too dear
Eti Nyoka_mzee unayo meno ya kung'ata?Shukran kwa masahihisho
Karibu kwa swalisamahani naomba kukuuliza
Mkuu we unaona nan anafaa kuwa pale Madrid?Kwa mawazo ya Zidane sidhani kama atahitaji huduma ya watu wale
Napapenda sana ,maisha tu yanatukimbizaAsante kwa kukumbuka kwenu maana kuna watu wanasahau hadi kwao
Amen Baba Paroko Tumsifu Yesu Kristo...karibuNawasalimu sana ndugu zangu wote wa jukwaa hili, muwe na week njema..
Hapana mpaka sasa nimefuga aina tatu tu wa kienyeji (Kuchi na chotara)Pamoja mkuu ila kuna kuku wanaitwa kenbow ila sina uhakika na hilo jina je umewahi kuwafuga
Asante mkuuu

Poa Dada karibu sana si bado tupo hukuNapapenda sana ,maisha tu yanatukimbiza
Hahahaha huwa unanifurahisha sana NyageiUlitaka ugombee jimbo nini?
![]()
![]()
![]()
Sawa afande

Tuko pamojaShukran kwa masahihisho
Sawa mkuu maana nawasikia hawa kuku wanauzwa bei kubwa kweli na hao kuchi unawafuga mda ganHapana mpaka sasa nimefuga aina tatu tu wa kienyeji (Kuchi na chotara)
Hawa wa kisasa ninafuga broilers na chotara aina ya Sosa
Amen baba parokoNawasalimu sana ndugu zangu wote wa jukwaa hili, muwe na week njema..
Milele amina mtumishi wa Mungu, nitakuona siku moja kwa chief pastor mtalemwa, itakua faraja sana mtumishi.Amen Baba Paroko Tumsifu Yesu Kristo...karibu
Asante mkuu mzima huko uliko?Nawasalimu sana ndugu zangu wote wa jukwaa hili, muwe na week njema..
Kuna dogo mmoja hivi yupo Monaco someone Silva anaichezesha vizuri sana MonacoMkuu we unaona nan anafaa kuwa pale Madrid?
Nikija nitakutafuta kaka asante sanaPoa Dada karibu sana si bado tupo huku
