Makapuku Forum

Makapuku Forum

hahaha Makapuku mimi huwa mbona jukwaa lenu hili najaribu kulielewa lakini nashindwa? Hivi huwa mnajadili mada fulani au kuna mtiririko wa story maana mnaniacha kwenye mataa ....ila ninachoelewa kutoka kwenu ni kuwa mnatoa like kama njungu vile na kingine kinachonishangaza ni uzi wenu unavyokimbia kama marathon vile....
Swali lako jepesi sana
 
jamani makapuku mko salama ??
nimewamic so crazzy
-shunie_first lady of jf
-shimba ya buyense_falsa with intergrity
-mondray_aka rayvany
-sakayo_apple lover2
-dr.lee_jealous man with pure love
-transcend_mshauri
-valentina_apple lover
-nyagei_charlie
-mukongo_werrason
-mukubhi_mboga za majani
-toxic9_baba paroko
Sasa mie nimekumiss zaidi ya sana. Apa nilikua macho juu juu nikiangalia utatokea upande gani mwenzangu
 
3aebdbbcab2ebfe907cbfba2d998ef48.jpg
 
hahaha Makapuku mimi huwa mbona jukwaa lenu hili najaribu kulielewa lakini nashindwa? Hivi huwa mnajadili mada fulani au kuna mtiririko wa story maana mnaniacha kwenye mataa ....ila ninachoelewa kutoka kwenu ni kuwa mnatoa like kama njungu vile na kingine kinachonishangaza ni uzi wenu unavyokimbia kama marathon vile....
Rutta ni ngumu sana kuuelewa huu uzi, hukuna mada maalum japo kuna segment kama nukuu, je wajua, leo katika historia na magazeti, kwa kifupi hiki ni kijiwe cha watu kupiga stori tena chenye watu wapya kila wakati, kwa ufupi hapa utani na kutaniana ni kwingi na stori za mapenzi na michezo huwa hazikauki. Likes ndio nguzo muhimu za ushirikiano hapa kapuku au hata nje ya kapuku.
Lingine memba wa humu wengi wanafahamiana nje ya kapuku.
 
Inawezekana lengo lake ni kutupima IQ tu
Ila umemfafanulia vizuri
.....
 
hahahahah...... mkuuu nakusoma tu toka mwanzo
lengo lako ni nini hasa mi nifukuzwe kazi ama ...
Hata ukifukuzwa kazi potelea mbali kwa sababu bosi mwenye wivu yule wala sipati picha jinsi unavyoteseka japo unakula kwa macho. Achana na hiyo kazi twende tukalime nyanya katika vijito vya likijiji la maraha Koromije.
 
Nashukuru auntie.

i may sound awkward, lakini mar y kwanza naiona hii movie tumekaa mimi na wazazi wangu nililengwalengwa na machozi. Storyline yake inateka moyo katika namna ambayo unatamani kuingia na kumzabua 'ba mdogo'
inasikitisha sana mara ya kwanza kuiona nipo mdogo sana enzi ya mikanda mikubwa aisee halaf waliitoa kwenye dvd nakumbuka niliinunua hata sijui iko ap nitainunua tena
 
simu yangu ilipata hitirafu nikairestore ikaanza upya kabisa nikadownload app ya jf na upya sasa nilisahau password yangu yakuingilia lkn sikuona kitufe kilicho andikwa forget password
naomba kuuliza kuna namna yoyote ya kuingia jf (login) kama umesahau password

[HASHTAG]#wasilisha[/HASHTAG]
sasa leo umeingiaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom