Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Ngoja nilale sasa. Ray kanchunia mwambie talaka inamuhusuhakuna namna kama wapemba tu
Hahahaaaaaaahahahah haya maisha haya Mungu anajua
Ndo niko kwa bed kipenziKipenzii hujalala
Umemsubuaa mke wangu vya kutoshanasubiria 172k nikalale, hapa nilipo nabembea kinyama
mkuu 😵 hongera kwa ushindiKipenzii hujalala
Anjari ni soda ya kitanga nimekumbushwaSijaenda mda sna shemela n wa huko nn
Mama lishehahaha nan sasa anakula kwa mama ntilie
Ya kinafiki kama yako ilivohahahah ya moyoni kweli hii
Nyumbani horohoro ni nini shemelaOooh sasa hivi ningebadili kukuita kaka
Jamaniiiiiutani uliovuka mpaka
hapo kwenye kumsumbua hapo hebu fafanua kidogo kiaje??Umemsubuaa mke wangu vya kutosha
hhahahaNgoja nilale sasa. Ray kanchunia mwambie talaka inamuhusu
Kiroho safi au Kiroho chafu?Asanteee
Utakula kwa mama ntilie na familia?Bora kula kwa mama ntilie