Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
poa braza, kwemaMapanki mambo!
poa braza, kwemaMapanki mambo!
mm tena asante shemela wangu kipenziHongera kwa 172 k
Nakumbuka hiyo kauliShemela jichekee tu mwezi wa 7 tunarudi vijijini kwetu hahhah
Nasubiri uje unishushie kipenziUmekumbukaa kushusha net ??
Alafu nakupigiaa simu haipiti
Na mchuzi wa nguo ya ndani...agrrTyphoid mzee
ulale unononilikuwa nasubiria post yako nikalale
chakorii wanguwetu
Vumilia umemchagua mwenyeweutani uliovuka mpaka
Yeye alinambia juzi kusahau netAiseee mbona mm sijawahi ulizwa
mbona unanifanyia hivyo unajua mm nina moyo baby au unajua mm robotNtakuchokaajee na wewe baby swty my kiazi mbatata
nikuone kwanza mwandiko wangu utaujua au vepeAhsante kwa kunichekesha aiseee...
Sasa kwann ulinichunia...?
Dada zangu wote unawataka huku unakula kwa mama ntilie!
Wizi huuNdo niko kwa bed kipenzi
mmh kuwaepukaje kakaHawa waume zenu ni wa kuepuka sana, wanafikiria matumbo yao tu huku wanataka kuoa huku wanawaza kula kwa mama ntilie badala ya kukaza msuli maisha yawe bora
Nilikuwa lushoto wiki mbili zilizopita, nusu ulaya kwa hali ya hewa na mandhari yakemm kwetu milima ya lushoto
mm apa ndioWewe huyuuu??

teh teh tehHahahaaaaaaa, wewe kweli ni mzee wa north Korea
Kipenzi umeonaa matumiz yakemm tena asante shemela wangu kipenzi
Jibu tuSwalii gumuu![]()
![]()
![]()
Vip una mashaka nayeWewe huyuuu??