Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Shemela jichekee tu mwezi wa 7 tunarudi vijijini kwetu hahhahHahahaaaaaaa
Shemela jichekee tu mwezi wa 7 tunarudi vijijini kwetu hahhahHahahaaaaaaa
Je mama ntilie anapata wapi unga wa bei nafuu au wamegeuka wahisani?Bora kula kwa mama ntilie
Umekumbukaa kushusha net ??Ndo niko kwa bed kipenzi
Ya kinafiki kama yako ilivo



ila mm ujue nilikupongeza ya moyoni kabisaHongera kwa 172 kBinamu simuelewi mjomba ako kama amenichoka ujue aniambie
halaf binamu haujanijibu swala langu la dr remmy
Kawaida yetuumkuu 😵 hongera kwa ushindi
Mapanki mambo!nasubiria 172k nikalale, hapa nilipo nabembea kinyama
mm kwetu milima ya lushotoNyumbani horohoro ni nini shemela
NdioooooJamaniiiii
nilikuwa nasubiria post yako nikalaleBinamu simuelewi mjomba ako kama amenichoka ujue aniambie
halaf binamu haujanijibu swala langu la dr remmy
Ntakuchokaajee na wewe baby swty my kiazi mbatataBinamu simuelewi mjomba ako kama amenichoka ujue aniambie
halaf binamu haujanijibu swala langu la dr remmy
Ahsante kwa kunichekesha aiseee...pacha naona kila nikikuchunia na wewe unanichunia zaidi, kusema hujanijua au??
naomba nijisalimishe, mwendo wa mateka mikono juu
Hawa waume zenu ni wa kuepuka sana, wanafikiria matumbo yao tu huku wanataka kuoa huku wanawaza kula kwa mama ntilie badala ya kukaza msuli maisha yawe borahahaha nan sasa anakula kwa mama ntilie
Wewe huyuuu??ila mm ujue nilikupongeza ya moyoni kabisa
Hahahaaaaaaa, wewe kweli ni mzee wa north Koreahapo kwenye kumsumbua hapo hebu fafanua kidogo kiaje??
kaka akikujibu niiteJe mama ntilie anapata wapi unga wa bei nafuu au wamegeuka wahisani?
Utakula kwa mama ntilie na familia?
Aiseee mbona mm sijawahi ulizwaUmekumbukaa kushusha net ??
Alafu nakupigiaa simu haipiti
Dada zangu wote unawataka huku unakula kwa mama ntilie!Kipenzii hujalala
Swalii gumuuJe mama ntilie anapata wapi unga wa bei nafuu au wamegeuka wahisani?
