Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
mm nimeshamsamehe shemela alishaaga akasema hataki tena mademu watanzania yupo na warwanda sijuiMsamehe shemela
mm nimeshamsamehe shemela alishaaga akasema hataki tena mademu watanzania yupo na warwanda sijuiMsamehe shemela
Napandaga raha leo au simba mtto hahahhaUkipanda ratco kama unaenda Tanga,hiyo soda utahusika nayo
Kule wanapenda weupe, aende kwa tahadharihahahha atapoteaje shemela
Jamaa mgumu sanahahahha baby lkn si nimekupa hongera itikia bas
kweli baby mgeni hapati like yangu ujue ndio mana wakiwa huko wanaongea kapuku ata ukiguna unapewa likeAhaaaaaaah
Ushindi kawaida yetu kama kupiga mswakiHata kupongezwa hutaki?
Hongera kwa ushindi
Wa benaco sio chigalimm nimeshamsamehe shemela alishaaga akasema hataki tena mademu watanzania yupo na warwanda sijui
Bei ya unga imepita mchele kg 2000![]()
Kwetu 2400/=
......
Tash Sasa hivi ndio inabambaNapandaga raha leo au simba mtto hahahha
Ukipanda ratco kama unaenda Tanga,hiyo soda utahusika nayo
hahahha ukimaanisha shemelaKule wanapenda weupe, aende kwa tahadhari
hahahha tatizo ametukaririJamaa mgumu sana
Kwetu 2200Bei ya unga imepita mchele kg 2000
Wanajua kulalamika hao sijaona aiseekweli baby mgeni hapati like yangu ujue ndio mana wakiwa huko wanaongea kapuku ata ukiguna unapewa like
Sijaenda mda sna shemela n wa huko nnTash Sasa hivi ndio inabamba
Hahaha mkuu upoNakwambia ni shida. Hata akina Aristoto na Plato watasubiri sana!
Ubwabwa siku hizi watu hawali vibarazaniBei ya unga imepita mchele kg 2000
Bora tule michele tu sasaBei ya unga imepita mchele kg 2000
wanalalamika halaf like wanazipenda wanasifia kabisaWanajua kulalamika hao sijaona aisee