Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Bei ya unga imepita mchele kg 2000
Siku chumvi ikipanda bei ndo tutatia akili na kutambua kuwa sifa ya nguru sio chumvi bali harufu.
Bei ya unga imepita mchele kg 2000
Siku chumvi ikipanda bei ndo tutatia akili na kutambua kuwa sifa ya nguru sio chumvi bali harufu.




Mkuu hata uwezo wa kutambua jambo muhimu la kuwafunza wengine ni zaidi ya hekimaHamna mkuu
Sema tunashare mambo mazuri
Vitu ninavyopost ni vichache tu ndo ambavyo nasomaga kila siku kwenye net ili kujielimisha
.....
Hahahaaaaaaa kweli aisee, kuna supermarket moja Tanga inaitwa mkwabi, ukimpeleka pale mtanga kufanya shopping utaheshimika sanaHa hahahhaha, hii soda kwa utamu wake unaweza kukuta unamng'oa mtoto wa kitanga (hawagongi monde), wao Anjari tu
sikuiz ukila ugali utaonekana unafanya anasaKwetu 2200
Bora kula kwa mama ntilieBei ya unga imepita mchele kg 2000
Sawa mkuuMkuu hata uwezo wa kutambua jambo muhimu la kuwafunza wengine ni zaidi ya hekima
hahahah haya maisha haya Mungu anajuaUbwabwa siku hizi watu hawali vibarazani
Ugali ndo anasa
......
Hapana, huwa naenda kikazi tuSijaenda mda sna shemela n wa huko nn
hakuna namna kama wapemba tuBora tule michele tu sasa
Asanteeehahahha baby lkn si nimekupa hongera itikia bas
hahaha nan sasa anakula kwa mama ntilieBora kula kwa mama ntilie
Siku chumvi ikipanda bei ndo tutatia akili na kutambua kuwa sifa ya nguru sio chumvi bali harufu.

Italeta mvuto zaidi jukwaaniDawa mkuu
Sitachoka
........
Kipenzii hujalalaBora tule michele tu sasa
Oooh sasa hivi ningebadili kukuita kakaHapana, huwa naenda kikazi tu
hahahah ya moyoni kweli hiiAsanteee
Typhoid mzeeBora kula kwa mama ntilie
utani uliovuka mpakaKipenzii hujalala