Makapuku Forum

Makapuku Forum

Silipendi. Lilimtapeli Chifu Mangungo likamsainisha mikataba feki likajinyakulia ardhi bure. Na mpaka leo bado tunasainishwa mikataba "feki" majamaa yanasomba mpaka mchanga wenye madini yetu. Niliwahi kwenda Mwadui mgodini kikazi. Ndege kwenda Sauzi kila mwezi inaruka ikiwa na almasi lakini ukitoka nje ya geti la mgodi Wasukuma wamechoka balaa. Laana si laana, ujinga si ujinga hata sijui ni nini!!!
Hiki kitu huwa kinanisikitisha sana basi tu
 
Ha hahhaha, nakumbuka hoja yako aliyoikimbia (hakujibu so nachukua kama kukimbia) huku Makapuku wanadhani ni kurahisihisi tu na kupeana 'likes' zisizo na sababu, la. Kila jukwaa lina umuhimu wake na huku segments zilizomo ndani ya makapuku ni forum within a forum, magazeti kwa mfano ni segment pana isiyoweza kuisha, historia tunakumbushana na kuweka kumbukumbu sawa.

Tunakuja kwenye soka, hapa tunaenda zaidi ya mpira uliochezwa jana na utakaochezwa kesho

Tuna sala za kila siku

Hujakutana na matajiri makapuku wasiopenda kusali hata BH akeshe anatupia mistari, unatukuta tunaosema amen huku tunagonga kilaji

bado kuna chai za hapa na pale kujijamii na kujamiiana

makapuku ni bomb, even the haters and losers die to come and act like King Julien!
Wenye wivu wajinyonge hata km ni mabonge

........
 
Week end nyingine tena, siku ya kifamilia. Najua kuna mapya mengi kwenu, ila kwangu, nimenunua saa mpya. Sio jambo baya family ya Makapuku kujua.

Turudi kwenye nachopenda, nyuzi za gitaa.

Filamu ya Neria ni maarufu sana hapa Tanzania na duniani kote, ni moja ya filamu zilizopata maarufu mkubwa miaka ya 90s. Ukiacha wahusika, na mandhari, soundtrack ya Neria ilitungwa, kuandikwa na kuchezwa na gwiji Oliver "Tuku" Mtukudzi.

Mshindi wa muda wote wa Tuzo za Kora, Tuku ni mwandishi mzuri wa mashairi 'poems' na litunukiwa tuzo ya International Writers Project inayotolewa na Brown university.

Hapa mcheki akicharaza gitaa lake lililotawala wimbo wa Neria katika mwaliko maalum alioupata pale Bush House studios za BBC.

Usiku mwema

Asantee bhinamuuu
 
Silipendi. Lilimtapeli Chifu Mangungo likamsainisha mikataba feki likajinyakulia ardhi bure. Na mpaka leo bado tunasainishwa mikataba "feki" majamaa yanasomba mpaka mchanga wenye madini yetu. Niliwahi kwenda Mwadui mgodini kikazi. Ndege kwenda Sauzi kila mwezi inaruka ikiwa na almasi lakini ukitoka nje ya geti la mgodi Wasukuma wamechoka balaa. Laana si laana, ujinga si ujinga hata sijui ni nini!!!

Wanafurahia magwangala, unakumbuka enzi za mapanki na madegere?
 
Silipendi. Lilimtapeli Chifu Mangungo likamsainisha mikataba feki likajinyakulia ardhi bure. Na mpaka leo bado tunasainishwa mikataba "feki" majamaa yanasomba mpaka mchanga wenye madini yetu. Niliwahi kwenda Mwadui mgodini kikazi. Ndege kwenda Sauzi kila mwezi inaruka ikiwa na almasi lakini ukitoka nje ya geti la mgodi Wasukuma wamechoka balaa. Laana si laana, ujinga si ujinga hata sijui ni nini!!!
Bora Chifu Mangungo alikuwa mbumbumbu kuliko hawa wasomi wetu wanatapeliwa mchana kweupe na PhD zao
.....
 
b4d5786e79d0b615f009cd0300aa7b6d.jpg
 
jamani makapuku mko salama ??
nimewamic so crazzy
-shunie_first lady of jf
-shimba ya buyense_falsa with intergrity
-mondray_aka rayvany
-sakayo_apple lover2
-dr.lee_jealous man with pure love
-transcend_mshauri
-valentina_apple lover
-nyagei_charlie
-mukongo_werrason
-mukubhi_mboga za majani
-toxic9_baba paroko
Inspector umechoka kazii ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom