Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
AmenNamshkuru Mungu kaka nipo vizuri
AmenNamshkuru Mungu kaka nipo vizuri
hakunaga fursana ya size ya kati halaf ikiwa ya moto mbayasize ya kati
unavyozijua basi kama una undugu na bakhresahakunaga fursana ya size ya kati halaf ikiwa ya moto mbaya
hahaha naipendaga ndogo ya baridi sanaunavyozijua basi kama una undugu na bakhresa
popote ulipo chukua mbili utalipia mwenyewe
nduki kali
Shambulio la moyo linasababishwa na kunywa vitu vya baridi sanahahaha naipendaga ndogo ya baridi sana
kila kitu kina madhara mondrayShambulio la moyo linasababishwa na kunywa vitu vya baridi sana![]()
wakubebwa bebwa since game ya United ile red card na leo tena penati ya kupewababy wangu kama nakuona usiku wako unaisha vizuri leo chelsea haijakuangusha
mkuuu umenichekesha sana daaaaa
hahaha Makapuku mimi huwa mbona jukwaa lenu hili najaribu kulielewa lakini nashindwa? Hivi huwa mnajadili mada fulani au kuna mtiririko wa story maana mnaniacha kwenye mataa ....ila ninachoelewa kutoka kwenu ni kuwa mnatoa like kama njungu vile na kingine kinachonishangaza ni uzi wenu unavyokimbia kama marathon vile....

unaongea na mm au na leewakubebwa bebwa since game ya United ile red card na leo tena penati ya kupewa
ndukiiii
huwezi kuelewa kama unachungulia na kupita we kaa kalibia week usome kimya kimya utaelewa tuhahaha Makapuku mimi huwa mbona jukwaa lenu hili najaribu kulielewa lakini nashindwa? Hivi huwa mnajadili mada fulani au kuna mtiririko wa story maana mnaniacha kwenye mataa ....ila ninachoelewa kutoka kwenu ni kuwa mnatoa like kama njungu vile na kingine kinachonishangaza ni uzi wenu unavyokimbia kama marathon vile....
mke wanguunaongea na mm au na lee
exactlyhuwezi kuelewa kama unachungulia na kupita we kaa kalibia week usome kimya kimya utaelewa tu
nakulinda wewe ila na boss piah namlinda kukutetea weyehivi n mm tu ndio nalindwa au na boss wako
Week end nyingine tena, siku ya kifamilia. Najua kuna mapya mengi kwenu, ila kwangu, nimenunua saa mpya. Sio jambo baya family ya Makapuku kujua.
Turudi kwenye nachopenda, nyuzi za gitaa.
Filamu ya Neria ni maarufu sana hapa Tanzania na duniani kote, ni moja ya filamu zilizopata maarufu mkubwa miaka ya 90s. Ukiacha wahusika, na mandhari, soundtrack ya Neria ilitungwa, kuandikwa na kuchezwa na gwiji Oliver "Tuku" Mtukudzi.
Mshindi wa muda wote wa Tuzo za Kora, Tuku ni mwandishi mzuri wa mashairi 'poems' na litunukiwa tuzo ya International Writers Project inayotolewa na Brown university.
Hapa mcheki akicharaza gitaa lake lililotawala wimbo wa Neria katika mwaliko maalum alioupata pale Bush House studios za BBC.
Usiku mwema
heheh... mkuu how yuh dare fi talkn like datOK. Kumbe mmechukuliana mabwana? Hilo ni jambo la kawaida. Mlinzi mwenyewe (Shedede) naye mchovu. Angekuwa anaifanya kazi yake kwa weledi hizi kasheshe wala zisingetokea...