Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Nakwambia ni shida. Hata akina Aristoto na Plato watasubiri sana!Bitoz amekuwa mzee wa busara sana anatema madini adimu
Nakwambia ni shida. Hata akina Aristoto na Plato watasubiri sana!Bitoz amekuwa mzee wa busara sana anatema madini adimu
la dr remmy utaweka la nyimbo gani binamuHa hahahhaha, hili kwa sababu unalijua zaidi na lina urafiki na masikio yako, kuna la Dr Remmy (RIP) nalo utalipenda tu.
Then tunaweza kutoka kwenda huko kina hendrix, Santana, Bonamassa, wale Waluo wa shirati jazz na wengine kibao
yaan ww msukumaMlindwa hujui mlinzi anaishije? Makubwa!
IWaafrika yaani tulikuwa na falsafa nzito na iliyoshabihiana na mazingira yetu vizuri. Halafu akina Karl Peters wakaja na kuharibu kila kitu. Sad!
Mkuu Huyo kazoea jukwa la siasa kwa hiyo akija huku anakuta hakuna maeno ya siasa anaona watu wamejaa furaha tofauti na jukwaa la siasa mda wote matusiAnakujaga hapa mara moja moja anatukana halafu anakimbia. Nilishawahi kumuuliza kama ana hoja anayohitaji ijadiliwe kwa kina aseme ili ajionee weledi wa Makapuku. Aliishia kutoa povu tu na kusepa.
Karibu Koromije ufanye utalii wa ndani. Njoo uone nyumba aliyozaliwa Bashite na mzee mashuhuri aliyezaa mtoto anayemiliki helicopter ya kutembelea hapa Tanzaniayaan ww msukuma



Naona Huyo atakuwa mlinzi hewaMlindwa hujui mlinzi anaishije? Makubwa!
HahahaaaaaaaNakwambia ni shida. Hata akina Aristoto na Plato watasubiri sana!
Asante msukuma nitakuja na lee wangu kwenye mwaliko wa kuja koromijeKaribu Koromije ufanye utalii wa ndani. Njoo uone nyumba aliyozaliwa Bashite na mzee mashuhuri aliyezaa mtoto anayemiliki helicopter ya kutembelea hapa Tanzania![]()
Anakujaga hapa mara moja moja anatukana halafu anakimbia. Nilishawahi kumuuliza kama ana hoja anayohitaji ijadiliwe kwa kina aseme ili ajionee weledi wa Makapuku. Aliishia kutoa povu tu na kusepa.
Amefanyaje tena?yaan ww msukuma
Mambo ya kawaida tu hayoAnakujaga hapa mara moja moja anatukana halafu anakimbia. Nilishawahi kumuuliza kama ana hoja anayohitaji ijadiliwe kwa kina aseme ili ajionee weledi wa Makapuku. Aliishia kutoa povu tu na kusepa.
Ni jinga sana aiseeIinaonekana Carl Peters alikutimbua sana![]()
Hilo jamaa hata mimi silipendi tangunimjue kwenye historia
Sura lake km Hitler
....
Na analipwa mshahhara hewaNaona Huyo atakuwa mlinzi hewa
Silipendi. Lilimtapeli Chifu Mangungo likamsainisha mikataba feki likajinyakulia ardhi bure. Na mpaka leo bado tunasainishwa mikataba "feki" majamaa yanasomba mpaka mchanga wenye madini yetu. Niliwahi kwenda Mwadui mgodini kikazi. Ndege kwenda Sauzi kila mwezi inaruka ikiwa na almasi lakini ukitoka nje ya geti la mgodi Wasukuma wamechoka balaa. Laana si laana, ujinga si ujinga hata sijui ni nini!!!Iinaonekana Carl Peters alikutimbua sana![]()
Hilo jamaa hata mimi silipendi tangunimjue kwenye historia
Sura lake km Hitler
....
Bado...movie yake ulishawahi angalia
Obe niajeHa hahhahaha, unanikumbusha twita za Trump, analipenda sana hili na 'pathetic'
shemela anapenda kumchokoza lee wanguAmefanyaje tena?