Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,279
- 35,642
la dr remmy utaweka la nyimbo gani binamu
Mbele kwa mbele, au unapenda wimbo gani?
Kitu kimoja kuhusu dr, gitaa lake ndo fundi mitambo alihakikisha linasikika zaidi kuliko mengine 😀😉
la dr remmy utaweka la nyimbo gani binamu
Angekuwa mjinga asingeweza kumtapeli Chifu MangungoNi jinga sana aisee
Kweli maana nina wasiwasi na ajira yake kuwa ni mlinzi hewa analipwa mshahara hewa na analinda lindo hewaNa analipwa mshahhara hewa
Lee asije kupotea tuAsante msukuma nitakuja na lee wangu kwenye mwaliko wa kuja koromije
Ndio anjari nimekumbuka ila imenishinda ile soda na uroho wangu woteAnjari![]()
![]()
![]()
![]()
Karibuni sana. Nitawachinjia ligulyati (beberu) au ndama aliyenona!Asante msukuma nitakuja na lee wangu kwenye mwaliko wa kuja koromije
Kwendaaa zakoo mmekalia majungu tu nyie wa man ubaby wangu kama nakuona usiku wako unaisha vizuri leo chelsea haijakuangusha
Mbele kwa mbele usirudi nyuma nyuma kuna niniiii binamu lini hiyo eb jitahidi week yote uniwekee remmy tuMbele kwa mbele, au unapenda wimbo gani?
Kitu kimoja kuhusu dr, gitaa lake ndo fundi mitambo alihakikisha linasikika zaidi kuliko mengine 😀😉
Ongeeniii mkuu ...wakubebwa bebwa since game ya United ile red card na leo tena penati ya kupewa
ndukiiii
Asante msukuma nitakuja na lee wangu kwenye mwaliko wa kuja koromije
Umenena vyema mkuu obeHa hahhaha, nakumbuka hoja yako aliyoikimbia (hakujibu so nachukua kama kukimbia) huku Makapuku wanadhani ni kurahisihisi tu na kupeana 'likes' zisizo na sababu, la. Kila jukwaa lina umuhimu wake na huku segments zilizomo ndani ya makapuku ni forum within a forum, magazeti kwa mfano ni segment pana isiyoweza kuisha, historia tunakumbushana na kuweka kumbukumbu sawa.
Tunakuja kwenye soka, hapa tunaenda zaidi ya mpira uliochezwa jana na utakaochezwa kesho
Tuna sala za kila siku
Hujakutana na matajiri makapuku wasiopenda kusali hata BH akeshe anatupia mistari, unatukuta tunaosema amen huku tunagonga kilaji
bado kuna chai za hapa na pale kujijamii na kujamiiana
makapuku ni bomb, even the haters and losers die to come and act like King Julien!
Weweeemke wangu
itafute inaitwa neria n ya zaman sana toka tupo wadogoBado...
pacha naona kila nikikuchunia na wewe unanichunia zaidi, kusema hujanijua au??Bado...
napitaWeweee
Karibu Koromije ufanye utalii wa ndani. Njoo uone nyumba aliyozaliwa Bashite na mzee mashuhuri aliyezaa mtoto anayemiliki helicopter ya kutembelea hapa Tanzania![]()
