Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
kumbe wanakuja kufata like mm ndio mana sitoi like kwa mgeniexactly
kumbe wanakuja kufata like mm ndio mana sitoi like kwa mgeniexactly
hahahhah mwehu wwnakulinda wewe ila na boss piah namlinda kukutetea weye
hahaha.... nakujashedede njoo utoe maelezo ya kuacha lindo
hahahahah...... mkuuu nakusoma tu toka mwanzoShedede yuko wapi Shunie? Hajaingia lindoni? Au kasafiri na bosi?
Huyu Valentina umehamia naye huku Makapuku au umemkuta huku huku? Kama umemkuta huku basi we mkali kwani kuna watu kama Shedede wamehangaika kutafuta mabibi huku mpaka wameishia kuwa walinzi wa wake za watu. I salute you mkuu!
niponde tyu we hata wakuzugia huna
sawamke wangu
miss u moo mlinzi wa kwangu mm peke angu si kwa aka hizojamani makapuku mko salama ??
nimewamic so crazzy
-shunie_first lady of jf
-shimba ya buyense_falsa with intergrity
-mondray_aka rayvany
-sakayo_apple lover2
-dr.lee_jealous man with pure love
-transcend_mshauri
-valentina_apple lover
-nyagei_charlie
-mukongo_werrason
-mukubhi_mboga za majani
-toxic9_baba paroko

hehehe hope sijakoseamiss u moo mlinzi wa kwangu mm peke angu si kwa aka hizo![]()
hahahhahh binamu hongera kwa kununua saa mpya
filamu ya neria naikumbuka yule mama mjane masikini alivyoanza kunyanyaswa na ndg wa mume
asante binamu kwa gitaa la mzee Oliver
Jaribu kuingia bila kutumia app utakuta hiyo optionsimu yangu ilipata hitirafu nikairestore ikaanza upya kabisa nikadownload app ya jf na upya sasa nilisahau password yangu yakuingilia lkn sikuona kitufe kilicho andikwa forget password
naomba kuuliza kuna namna yoyote ya kuingia jf (login) kama umesahau password
[HASHTAG]#wasilisha[/HASHTAG]
Ngoja nikasikilize sasa gitaaJaribu kuingia bila kutumia app utakuta hiyo option
Awali alijiitaje!aliyeweza nibadili ni lee tu hahaha
Waropokaji mmemfukuza dadangu, so sadndio vile mm tu jeuri anawasalimia kaniambia nimpe salaam sana T wake
Acha unafiki dadangu, sema ukweli kwani unaujuame ata sijui labda ana kamgomo kake
Tengua kauli mwanaume hasemeshwagi hivi dadahahahhaha nipo mm we ni chizi
Huwezi wako pamojaSasa mwambie namuiba T wake
Unashida wewe, wanaokupenda huwapendiSasa mwambie namuiba T wake